Na Mwandishi wetu.
Shule ya Msingi ya Brookside academy ya Kimara Suka Jijini Dar es Salaam, ina waalika wakazi wa Jiji la Dare s Salaam kutembelea banda lake wakati wa sikukuu ya Pasaka.
Shule hiyo bora kitaaluma ni ya Mchepuo wa Kiingereza na imekuwa ikiandaa na kushiriki maonyesho mbalimbali yakiwemo ya Sabasaba, Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Shule hiyo Massanja Dotto Maduhu anasema kuwa shule yake imeandaa maonyesho hayo ikiwa ni jitihada za shule hiyo kusogeza huduma zake karibu na wananchi.
“Nichukue fursa hii kuwaomba wakazi wa Jijini la Dar es Salaam na vitongoji vyake kutembelea banda letu wakati wa siku mbili za sikuu ya Pasaka, anasema.
Anabainisha kuwa kwa watakaotembelea banda lao watapata fursa ya kujifunza mambo mengi ikiwa ni pamoja na kupata fursa za kuhamishia watoto wao shuleni hapo ili wapate elimu bora, faida masomo ya lugha za Kifaransa na Kichina na mengine mengi.
“Kwahiyo kusomesha mtoto shuleni kwetu kuna faida kubwa sana kwani pamoja na taaluma tunasaidia kukuza vipaji mbalimbali vya watoto wetu,” anasema.

Msanii Tausi Mdegela akizungumza na wageni waliotembela banda la shule hiyo kwenye maonyesho yaliyofanyika hivi Karibuni Milimani City Jijini Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...