
LEO hii kutakuwa na mechi ya kibabe kabisa ya kuwania nafasi ya kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2026. Ni Uturuki dhidi ya Romania ambapo kwenye mechi hii unaweza ukaibuka bingwa na Meridianbet.
Usiku wa leo saa 2:00, dimba la Tupras, Uturuki litashuhudia pambano la kuamsha shauku za mashabiki wa soka, wakati Uturuki itakabiliana na Romania katika raundi ya pili ya kufuzu Kombe la Dunia 2026.
Katika hatua za makundi, Uturuki imeonyesha kiwango cha juu, ikishinda mechi nne aliibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Bulgaria, 4-1 dhidi ya Georgia, 6-1 dhidi ya Bulgaria, 3-2 dhidi ya Georgia. Pia, Uturuki imepata sare 2-2 dhidi ya Spain, huku ikikubali kufungwa 6-1 dhidi ya taifa hilo. Kocha Montella Vincenzo anatarajiwa kutumia wachezaji wake wenye kasi na uwezo wa ushambuliaji kuhakikisha wanachukua hatua ya mbele katika raundi hii.
Romania, upande mwingine, imeonyesha ufanisi mkubwa katika kundi H: Ushindi 7-1 dhidi ya San Marino, 1-0 dhidi ya Austria, 2-0 dhidi ya Cyprus na 5-1 dhidi ya San Marino. Walipata sare 2-2 dhidi ya Cyprus, na kupoteza 1-0 dhidi ya Bosnia, kabla ya kurejea na ushindi 2-1 dhidi ya Austria na 3-1 dhidi ya Bosnia. Kocha Licescu Mircea anatarajiwa kuongoza kikosi chenye mchanganyiko wa wachezaji wachanga na wenye uzoefu. Jisajili sasa
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# ubashiri bila Intaneti, kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mabingwa wa kutoa pesa, wamekuwekea odds kali katika mechi, unaachaje mkwanja ukupite hivihivi?
Mara ya mwisho mataifa haya kukutana ilikuwa mwaka 2017, wakati Romania ilipoibuka na ushindi wa 2-0 nyumbani dhidi ya Uturuki. Ushindi huo unaongeza msisimko wa mashabiki wa soka, huku timu zote zikitarajia kurudisha heshima na ushindi leo usiku.
Mchezo huu unatarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa kutokana na rekodi za mechi za makundi na historia ya michuano ya awali. Uturuki, ikiwa nyumbani, inatazamiwa kushambulia kwa kasi huku Romania ikitaka kuonyesha umahiri wake wa ushambuliaji na kutoachia mapengo nyuma. Chukua Mkwanja wako na Meridianbet.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...