Balozi
wa Kenya Nchini Tanzania Catherine Wahome akikata Keki iliyoandaliwa na
Wafanyakazi wa Ubalozi huo wakati alipowasili katika Ofisi ya Ubalozi
mara baada ya kukabidhi Hati ya Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano Watanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Balozi
wa Kenya Nchini Tanzania Catherine Wahome akikabidhiwa Ua kwa ajili ya
upendo wakati alipowasili katika Ofisi ya Ubalozi mara baada ya
kukabidhi Hati ya Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Watanzania
Dkt.Samia Suluhu Hassan.


.jpeg)

.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...