Mhe. Lazarus Chakwera (kushoto), Rais wa zamani wa Jamhuri ya Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Ayorkor Botchwey, amewasili nchini usiku wa tarehe 08 Aprili 2026 usiku kwa ziara ya kikazi. Mhe. Chakwera amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe (kulia).
Home
HABARI
RAIS MSTAAFU WA MALAWI,MJUMBE MAALUM WA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA WAWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...