Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Fedha inawataarifu wananchi na wadau kuwa wameandaa hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya mwaka 2025, inayolenga kuimarisha ufanisi, uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za umma na kuongeza ushiriki wa sekta binafsi na makundi maalum ya Kijamii, Siku ya Jumatano tarehe 08 Aprili, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma.

Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wote Mnakaribishwa

 #serayataifayausimamiziwamnyororowaugavi2025

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...