
MSIMU huu umekuja na moto wake kwelikweli. Karibu kwenye Spring Season of Legends, mashindano makubwa kutoka Meridianbet yenye zawadi zinazozidi TZS milioni 460. Hii sio promosheni ya kawaida, ni nafasi yako ya kuonyesha uwezo wako, kucheza michezo unayoipenda, na kushinda pesa halisi kila siku.
Kitu kizuri zaidi ni kwamba unacheza
tu kama kawaida lakini kila hatua unayopiga inakupa pointi. Kadri unavyocheza ndivyo unavyopanda ngazi, ukikaribia
zaidi ushindi mkubwa. Hapa
hakuna bahati tu, ni juhudi zako zinazokuweka juu.
Vilevile, Michezo mingi zaidi ya
kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na
machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa
kupiga *149*10#.
Mashindano haya yamegawanyika kwenye
hatua 4 za ushindani, kila moja ikiwa na nafasi mpya za kushinda. Hii
inamaanisha hata ukianza leo au kesho bado una nafasi kubwa ya kuwa mshindi. Kila siku ni fursa
mpya ya kuingiza pesa mfukoni.
Na si hayo tu, Meridianbet
wameongeza Infinity Drops,
zawadi zisizokata mwezi mzima. Hii ni bonasi
juu ya bonasi, ukicheza unapata zaidi. Hakuna kukaa kusubiri mwisho wa mwezi,
hapa unashinda kila wakati.
Usikae nje wakati wengine wanachukua
hela. Jiunge sasa na Meridianbet,
anza kucheza, kusanya pointi, na thibitisha wewe ni mkongwe wa kweli wa kubashiri. Huu ndio wakati wa vijana
wanaotaka hela.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...