Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. William Samoei Ruto walipokutana wakati wa mkutano wa Jukwaa la Amani la Oslo 2026 (Oslo Forum 2026) unaofanyika mjini Oslo, Norway, tarehe 10–11 Juni 2026. Mkutano huo wa kimataifa wa kila mwaka unawaleta pamoja wasuluhishi wa migogoro, viongozi wa ngazi za juu, na wataalamu wa amani kutoka zaidi ya nchi 50 duniani. Mwaka huu, Oslo Forum inajadili kauli mbiu yenye uzito wa kipekee: "Gharama ya Vita, Thamani ya Amani" ("The Cost of War, the Price of Peace").
Home
HABARI
JAMII
Rais Mstaafu Dkt. Kikwete Akutana na Rais wa Kenya wakati wa mkutano wa Jukwaa la Amani la Oslo 2026
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...