
MERIDIANBET inaendelea kuwa karibu na wachezaji wake kwa kukuletea mchezo mpya wa kusisimua wa Skyward Deluxe. Jiandae kwa mwezi mzima wa burudani, ushindi na zawadi zinazoshuka kila wakati. Huu ni muda wako wa kucheza, kushinda na kufurahia kila mzunguko kwa kiwango cha juu.
Kupitia promosheni ya Warm-Up na mashindano ya dunia, wachezaji wana nafasi ya kujinyakulia beti za bure kupitia Sky Drops zinazotolewa kila saa. Kila unapocheza, nafasi ya kupata zawadi inaongezeka na kufanya kila dakika kuwa ya thamani zaidi.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Msisimko unaendelea kabla ya mechi kupitia Build-Up Drops, ambapo zawadi maalum hutolewa kwa wachezaji wanaoshiriki mapema. Hii ni fursa ya kuongeza ushindi wako kabla hata ya mpira kuanza kuchezwa.
Mbali na hilo, kuna msimamo wa siku, wiki na mwezi unaokupa nafasi ya kupanda viwango na kushindana na wachezaji wengine. Kadri unavyocheza ndivyo nafasi yako ya kufika kileleni na kujinyakulia zawadi zaidi inavyoongezeka.
Zawadi zote hutolewa moja kwa moja kama beti za bure katika thamani ya pesa kulingana na mchezo wako. Cheza Skyward Deluxe leo ndani ya Meridianbet, chukua ushindi wako na panda kwenye uongozi kila siku.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...