MOTO umewashwa, kuku yuko tayari kwa safari na sasa ni zamu yako kuingia kwenye mchezo wa Hot Chicken Run kutoka Meridianbet. Ukibuniwa na Expanse Studios, mchezo huu unakuletea mchanganyiko wa kasi, burudani na changamoto unaokuweka kwenye presha kila hatua unayopiga.

Hapa si suala la kukimbia tu, bali ni kujua namna ya kukwepa vikwazo, kukusanya vitu muhimu na kusonga mbele bila kukubali safari yako ikatwe. Kila hatua ni changamoto mpya inayokutaka uwe makini, mwepesi na mwenye maamuzi ya haraka. Na kwa upande wa dau sasa, kiwango chochote kile kisichozidi Tsh. 1200/= kinaweza kuwekwa kama dau.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Lengo ni moja, fika mbali zaidi na vunja rekodi yako. Kadri unavyosonga, ndivyo msisimko unavyoongezeka na kukupa hamu ya kujaribu tena ili kuona kama unaweza kufanya vizuri zaidi kuliko mara iliyopita. Siri ya ushindi inabaki palepale, hakikisha kuku wako hagongwi na gari wakati anapovuka barabara.

Kwa mashabiki wa michezo inayochanganya kasi, ushindani na burudani, Hot Chicken Run ni sehemu ambayo hutaki kubaki mtazamaji. Ingia uanze safari, epuka kila kikwazo kinachokukabili na onyesha uwezo wako wa kuitawala njia hiyo yenye moto.

Moto umewashwa, safari imeanza. Je, uko tayari kukimbia, kukwepa, kukusanya pesa nyingi na kutawala? Ingia kwenye Hot Chicken Run kutoka Meridianbet, Pima uwezo wako na uone unaweza kufika umbali gani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...