Miili ya askari polisi watatu waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Oktoba 8, 2026, eneo la Magole, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, imeagwa leo Oktoba 10, 2026, katika Viwanja vya Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU).
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Nchini pamoja na Askari walipata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu kabla ya safari yao ya mwisho.





.jpeg)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...