Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe wa Baraza hilo yaliyofanyika Jijini Dodoma.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Mahadia Tunga akitoa mada kuhusu matumizi sahihi ya akili unde kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (hawapo pichani) yaliyofanyika Jijini Dodoma.
Meneja wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kanda ya Kati, Bi. Nuru Ashraf akitoa mada kuhusu mafao na fidia kwa watumishi kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (hawapo pichani) yaliyofanyika Jijini Dodoma.




Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akiwaongoza wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuimba wimbo wa mshikamano daima wakati wa mkutano wa Baraza hilo lililofanyika Jijini Dodoma.










Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiuliza maswali kuhusu mafao na fidia kwa watumishi baada ya mafunzo kutolewa yaliyofanyika Jijini Dodoma.








Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakichangia mada kuhusu matumizi sahihi ya akili unde wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Dodoma.










Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza kwa makini Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe hao yaliyofanyika Jijini Dodoma.


Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na wawezeshaji waliotoa mafunzo kwa wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yaliyofanyika Jijini Dodoma.








Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...