Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb), amekagua maghala ya kuhifadhia Korosho ghafi katika eneo la Mradi wa Kongani la Viwanda vya Kubangua Korosho lililopo Kijiji cha Maranje, Halmashauri ya Nanyamba mkoani Mtwara, tarehe 13 Novemba 2026 ikiwa ni sehemu ya ufuatiliaji wa mnyororo wa thamani na ubora wa uhifadhi wa zao hilo.
Ukaguzi huo umefanyika kabla ya hafla maalum ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi huo mkubwa wa kimkakati, iliyoongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Mtwara.



.jpeg)
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...