Mheshimiwa Mohamed Omary Mchengerwa, Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo Ziara ya Kikazi ya siku mbili iliyofanyika kati ya tarehe 22 na 23 nchini Ethiopia ambapo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.
Mheshimiwa James Kinyasi Millya, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo na Ziara ya Kitaifa ya siku mbili ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, nchini Uganda iliyofanyika kati ya tarehe 18 na 19, Novemba 2026 pamoja na Ziara ya Kikazi ya siku mbili iliyofanyika kati ya tarehe 22 na 23 nchini Ethiopia ambapo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutanowa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.
Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Bruno Sunguya akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo na Ziara ya Kikazi ya siku mbili iliyofanyika kati ya tarehe 22 na 23 nchini Ethiopia ambapo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutanowa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.






.jpeg)












Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...