Home
Unlabelled
biashara haramu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Na hivi Shaggy yupo Dar, itabidi tumpitishe Samora aone Ujasiriamali ulivyopamba moto.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteSasa unataka jamaa akale wapi?
Wachina wenyewe pamoja na kuwa na maendeleo zaidi yetu, biashara ya programu, muziki na sinema haramu imeshamiri ile mbaya.
Bado watu hawajaweza kuwa kipato cha kuwawezesha kununua vitu ambavyo sio haramu.
Lakini muda sio mrefu, mambo yatabadilika.
kumpigaga picha wampigaga na kumtoaga kwenye kompyuta wamtoaga je wakati unampigaga picha hii ulimwambiaga unaipelekaga wapi sababu angejuaga asingekubaliaga kupigaga hii picha.Siku mkikutanaga tauni mnawezaga kupiganaga kwakua unamualibiaga kabiashara kake.teteteh we michuzi mchokozi sana teteteh. Mshikaji kakimbiaga kijijini kuja Dar kutafutaga maisha wewe wamuaribiaga. Ngosha wa Bukombe Mjini. Michuzi haka kawebusaiti kako kanafika mpaka huku kaka tunafaidi sana kaka.Asante kwa leo.
ReplyDelete