jamaa akiuza cd na kanda za sinema na muziki mtaa wa samora. asilimia 99 ya bidhaa hiyo ni haramu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Na hivi Shaggy yupo Dar, itabidi tumpitishe Samora aone Ujasiriamali ulivyopamba moto.

    ReplyDelete
  2. Michuzi,

    Sasa unataka jamaa akale wapi?

    Wachina wenyewe pamoja na kuwa na maendeleo zaidi yetu, biashara ya programu, muziki na sinema haramu imeshamiri ile mbaya.

    Bado watu hawajaweza kuwa kipato cha kuwawezesha kununua vitu ambavyo sio haramu.

    Lakini muda sio mrefu, mambo yatabadilika.

    ReplyDelete
  3. kumpigaga picha wampigaga na kumtoaga kwenye kompyuta wamtoaga je wakati unampigaga picha hii ulimwambiaga unaipelekaga wapi sababu angejuaga asingekubaliaga kupigaga hii picha.Siku mkikutanaga tauni mnawezaga kupiganaga kwakua unamualibiaga kabiashara kake.teteteh we michuzi mchokozi sana teteteh. Mshikaji kakimbiaga kijijini kuja Dar kutafutaga maisha wewe wamuaribiaga. Ngosha wa Bukombe Mjini. Michuzi haka kawebusaiti kako kanafika mpaka huku kaka tunafaidi sana kaka.Asante kwa leo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...