huyu ndiye nancy sumary miss tanzania 2005/06 ambaye atamaliza muda wake miezi michache ijayo, kwani pilika za kumsaka mrithi wake zimeshaanza rasmi. tatizo zawadi ya nyumba hajapewa hadi naandika haya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Michuzi hapo ni wapi na je hii picha alikupa ruksa kuibandika???

    ReplyDelete
  2. huyu mtoto ni wa kuotea mbali.naona bongo na sisi tumejaliwa na watoto wazuri. lakini mbona watoto kama hawa wakibongo siwaoni mamtoni?

    ReplyDelete
  3. mie namjua sana huyu mtoto ajui kuogelea kabisaaa, tena akisogea tu kazama.

    ReplyDelete
  4. maashalaah

    ReplyDelete
  5. JK kapiga hapo!

    ReplyDelete
  6. Huyu mtoto bomba lakini niulize hivi kweli hii ndiyo role model kwa jamii ya kitanzania?

    ReplyDelete
  7. jamii ya kitanzania ni ipi na isiyo ya kitanzania ni ipi? hebu tufafanulie

    ReplyDelete
  8. Anon, naona huyu innocent anataka aende kuogelea na baibui ndiyo atafurahishwa.

    ReplyDelete
  9. Huyu dada anakichwa kikubwa mmmmm, angalieni kwa makini mtaona ndonga yake kubakuba hivi.

    ReplyDelete
  10. sio kweli msichana ni mrembo sana na acha tabia zako za kukosoa viumbe vya mungu naona unashindana na mungu.

    Hata tukiangalia kwa makini na tukakiona ni kikubwa tufanyeje sisi ndio tuliomuumba??

    KWANZA HANA KICHWA KIKUBWA, WEWE NDO MWENYE KICHWA NA MACHO MAKUBWA SANA NDO MANA UNAONA KILA KITU KIKUBWA. HEBU WEWE JIANGALIE KWA MAKINI.

    msichana ni mrembo sana kama bwana ako kaonyesha kumpenda au kumtamani hapa sio mahala pakutolea uchungu wako.

    mkomalie huyo jamaa yako mwache sweetie wetu ni supersana huyu dada.

    ALAFU KUMBUKA HUJAFA HUJAUMBIKA.

    ReplyDelete
  11. mtomto mzuri sana wewe.

    ka baby kweli jamani.

    ReplyDelete
  12. wewe anonymou unaesema huyu dada ni mbaya au anakichwa kikubwa wewe ni lazima utakuwa mwanamke na una wivu na kama wewe ni mwanamme basi hebu jiangalie angalie vizuri hapo chini labda unajidanganya au hebu jaribu kukumbuka hapo zamani labda kuna wajanja walikupeleka bondeni.

    ReplyDelete
  13. Msichana ni mzuri sana na ndio maana boby wa clouds fm akamchagua kuwa wake. ulie tuuu

    ReplyDelete
  14. Huyu anonymous nimegundua ana wivu sana na haka kabinti. Wacha utani kameiva na kanafaa kuwa kamiss ka Afrika.

    Anonimous mpe mtu mzuri sifa yake siyo unaponda hovyo noma namna hiyo hiki kitu kinalipa.

    ReplyDelete
  15. yaani huyu binti analeta raha.

    ReplyDelete
  16. duuh noma, bomba sana.

    ReplyDelete
  17. Ndio ni mrembo lakini naunga mkono vincent huu ndoi uhalisi wa mwafrika kuwa uchi? Je kuwa mrembo ni kuvua nguo ukabakia chupi na kanchiri? Ina maana mwisilamu na buibui yake hataitwa mrembo?

    ReplyDelete
  18. ulitaka akoogelee na baibui, tuambie mwafrika na asiye mwafrika kuna tafauti gani?

    Msichana ni mzuri sana mwacheni.

    peleka ubaya wako kando.

    NA KUMBUKA HAKUNA MTU AMEONGELEA SWALA LA UISILAMU WALA UKIRISTO HAPO HUKO UNAKOKWENDA NI MBALI KABISA.

    kwani kuvaa baibui ndo adabu?

    KWANZA NI VAZI LA KUFICHIA MAOUVU MENGI.

    ReplyDelete
  19. DUUU WABONGO ACHECNI KE-HATE JAMANI MDADA WA WATU NI MREMBO SAAANA.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 13, 2006

    HAKUNA MTU ALIYEZALIWA ALAFU AWE MBAYA!SEMA HAKUVUTII WEWE NAWEZA KUKUBALI.UMESOMA SAYANSI?KIVULI CHA KITU(TASWIRA)KWENYE RETINA INAPOKELEWA IKIWAJE?KICHWA CHINI MIGUU JUU,SASA HAPO NI KAZI YA UBONGO KUFASILI NINI CHAONEKANA.KAMA UBONGO WAKO AU MISHIPA YA FAHAMU INA HITILAFU KILA KITU UTACHOKIONA WEWE UTASEMA KIBAYA,KUMBE TATIZO LIPO KWAKO.
    USHAURI:UZURI WA KITU NI JICHO.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 01, 2006

    jamani mmesikia mafirauni wa clouds Ruge ameshamnyakua.......
    Mtoto kachelewa press conference mwanza kisa anajivinjari room na ruge dooooooooooooh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...