Home
Unlabelled
miss tanzania 2005/06
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hapo ni wapi na je hii picha alikupa ruksa kuibandika???
ReplyDeletehuyu mtoto ni wa kuotea mbali.naona bongo na sisi tumejaliwa na watoto wazuri. lakini mbona watoto kama hawa wakibongo siwaoni mamtoni?
ReplyDeletemie namjua sana huyu mtoto ajui kuogelea kabisaaa, tena akisogea tu kazama.
ReplyDeletemaashalaah
ReplyDeleteJK kapiga hapo!
ReplyDeleteHuyu mtoto bomba lakini niulize hivi kweli hii ndiyo role model kwa jamii ya kitanzania?
ReplyDeletejamii ya kitanzania ni ipi na isiyo ya kitanzania ni ipi? hebu tufafanulie
ReplyDeleteAnon, naona huyu innocent anataka aende kuogelea na baibui ndiyo atafurahishwa.
ReplyDeleteHuyu dada anakichwa kikubwa mmmmm, angalieni kwa makini mtaona ndonga yake kubakuba hivi.
ReplyDeletesio kweli msichana ni mrembo sana na acha tabia zako za kukosoa viumbe vya mungu naona unashindana na mungu.
ReplyDeleteHata tukiangalia kwa makini na tukakiona ni kikubwa tufanyeje sisi ndio tuliomuumba??
KWANZA HANA KICHWA KIKUBWA, WEWE NDO MWENYE KICHWA NA MACHO MAKUBWA SANA NDO MANA UNAONA KILA KITU KIKUBWA. HEBU WEWE JIANGALIE KWA MAKINI.
msichana ni mrembo sana kama bwana ako kaonyesha kumpenda au kumtamani hapa sio mahala pakutolea uchungu wako.
mkomalie huyo jamaa yako mwache sweetie wetu ni supersana huyu dada.
ALAFU KUMBUKA HUJAFA HUJAUMBIKA.
mtomto mzuri sana wewe.
ReplyDeleteka baby kweli jamani.
wewe anonymou unaesema huyu dada ni mbaya au anakichwa kikubwa wewe ni lazima utakuwa mwanamke na una wivu na kama wewe ni mwanamme basi hebu jiangalie angalie vizuri hapo chini labda unajidanganya au hebu jaribu kukumbuka hapo zamani labda kuna wajanja walikupeleka bondeni.
ReplyDeleteMsichana ni mzuri sana na ndio maana boby wa clouds fm akamchagua kuwa wake. ulie tuuu
ReplyDeleteHuyu anonymous nimegundua ana wivu sana na haka kabinti. Wacha utani kameiva na kanafaa kuwa kamiss ka Afrika.
ReplyDeleteAnonimous mpe mtu mzuri sifa yake siyo unaponda hovyo noma namna hiyo hiki kitu kinalipa.
yaani huyu binti analeta raha.
ReplyDeleteduuh noma, bomba sana.
ReplyDeleteNdio ni mrembo lakini naunga mkono vincent huu ndoi uhalisi wa mwafrika kuwa uchi? Je kuwa mrembo ni kuvua nguo ukabakia chupi na kanchiri? Ina maana mwisilamu na buibui yake hataitwa mrembo?
ReplyDeleteulitaka akoogelee na baibui, tuambie mwafrika na asiye mwafrika kuna tafauti gani?
ReplyDeleteMsichana ni mzuri sana mwacheni.
peleka ubaya wako kando.
NA KUMBUKA HAKUNA MTU AMEONGELEA SWALA LA UISILAMU WALA UKIRISTO HAPO HUKO UNAKOKWENDA NI MBALI KABISA.
kwani kuvaa baibui ndo adabu?
KWANZA NI VAZI LA KUFICHIA MAOUVU MENGI.
DUUU WABONGO ACHECNI KE-HATE JAMANI MDADA WA WATU NI MREMBO SAAANA.
ReplyDeleteHAKUNA MTU ALIYEZALIWA ALAFU AWE MBAYA!SEMA HAKUVUTII WEWE NAWEZA KUKUBALI.UMESOMA SAYANSI?KIVULI CHA KITU(TASWIRA)KWENYE RETINA INAPOKELEWA IKIWAJE?KICHWA CHINI MIGUU JUU,SASA HAPO NI KAZI YA UBONGO KUFASILI NINI CHAONEKANA.KAMA UBONGO WAKO AU MISHIPA YA FAHAMU INA HITILAFU KILA KITU UTACHOKIONA WEWE UTASEMA KIBAYA,KUMBE TATIZO LIPO KWAKO.
ReplyDeleteUSHAURI:UZURI WA KITU NI JICHO.
jamani mmesikia mafirauni wa clouds Ruge ameshamnyakua.......
ReplyDeleteMtoto kachelewa press conference mwanza kisa anajivinjari room na ruge dooooooooooooh