Home
Unlabelled
furaha ya harusi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii hatari hapa si kama mtu na mwanae wanaoana au macho yangu jamani. Huyu binti si sawa na mwanae na huyu mzee anayemuoa. Michuzi tafadhali tunaomba umri wa hawa wanandoa.
ReplyDeleteNdoa wapi hiyoo! huyu mwanamke kachukua karatasi tu hilo, baadaya ya miaka michache, bwana manzese bibi kariakoo. Life goes on ... waya wa Ghana nani asiyeujua
ReplyDeleteAcheni wivu jamani!Mambo mengine hupangwa na muumba.Si kila mtu anayeoa au kuolewa huangalia maslahi kukimbia waya mkali!Kuna wabongo wenzi wao wa maisha ni wa ughaibuni na wanaishi nao hapo ahapo bongo na hata kwingineko dunia ya tatu kwa hivyo ni mapenzi tuu.Kipendacho moyo....
ReplyDeleteHaya mama kila la kheri kwenye ndoa yako, sijui unajisikiaje kuonekana na watanzania wote umeolewa..... au kwa vile ni mzungu jamani.
ReplyDeleteNani kasema huyo dada ni mtoto? kinaonekana kimekula nyumri vile vile. Na huyo mzungu wala sio mkubwa sana ila jimwili tu!
ReplyDeleteWapongezeni lakini badala ya kuona kana kwamba wanateneneza karatasi tu.
Jamani bwana harusi sio huyo jinene. Bwana harusi ndio huyo aliyevaa mkanda jamani. Nawewe unakuwa kama umetokea bushozi.
ReplyDeleteBUSHOZI NDO NINI JAMANI?WENGINE TUP O SEHEMU AMBAYO HATUSIKII KISWAZI.
ReplyDeletehawa wazungu ndo wanaotafuta makaratasi huku kwetu. Poa tuu, lakini hawa dada zetu kama wanatoka pwani basi wajiandae vizuri kwa sababu wazungu wote ni magovi, na watu wa pwani hawapendi mchezo wa govi
ReplyDeleteMpeni hongera! Hongera sana dada. Wabongo hamkosi la kusema doh. Inasikitisha!!!
ReplyDeleteHii ndoa ni ya ugumu wa maisha na hao wazungu wanaonekana ni staili yao kuoa wanawake wa kiafrika wenye maisha magumu.ona walivyoigana kwani huyu kaona Ghana huyu shemeji yetu kaoa bongo...hakuna mapenzi hapo twaekti tuuu....jamani
ReplyDeletemapenzi yapo!! mbona hivyo!!!???
ReplyDeleteLipi jema hadi mwache kusema mnachonga sana juu ya ndoa za watu za kwenu je tumeni picha kwa issa tuone hiyo mijimama na mijibaba yenu asante dada kwa kuleta mbegu ya kiafricast tz mfano kwa wengine.mapenzi hata ....iwe na g...poa tu .
ReplyDeletebora upate karatasi dada yangu maanaake hawa wazungu hawaeleweki!!
ReplyDeletekasoro yao ni kwenda jandoni hawataki!
sijui chumvini unakwendaje !
dada zetu watanyonya magovi tuu hivyo hivyo kumaamazao
ReplyDelete