david goodband wa london, uingereza, na mkewe tash shanang, mbongo ambaye pia anaishi ughaibuni, walifunga ndo jumapili dar, na kusindikizwa na rafikie david, brian, ambaye mkewe anatoka ghana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2006

    Hii hatari hapa si kama mtu na mwanae wanaoana au macho yangu jamani. Huyu binti si sawa na mwanae na huyu mzee anayemuoa. Michuzi tafadhali tunaomba umri wa hawa wanandoa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2006

    Ndoa wapi hiyoo! huyu mwanamke kachukua karatasi tu hilo, baadaya ya miaka michache, bwana manzese bibi kariakoo. Life goes on ... waya wa Ghana nani asiyeujua

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2006

    Acheni wivu jamani!Mambo mengine hupangwa na muumba.Si kila mtu anayeoa au kuolewa huangalia maslahi kukimbia waya mkali!Kuna wabongo wenzi wao wa maisha ni wa ughaibuni na wanaishi nao hapo ahapo bongo na hata kwingineko dunia ya tatu kwa hivyo ni mapenzi tuu.Kipendacho moyo....

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2006

    Haya mama kila la kheri kwenye ndoa yako, sijui unajisikiaje kuonekana na watanzania wote umeolewa..... au kwa vile ni mzungu jamani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2006

    Nani kasema huyo dada ni mtoto? kinaonekana kimekula nyumri vile vile. Na huyo mzungu wala sio mkubwa sana ila jimwili tu!

    Wapongezeni lakini badala ya kuona kana kwamba wanateneneza karatasi tu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2006

    Jamani bwana harusi sio huyo jinene. Bwana harusi ndio huyo aliyevaa mkanda jamani. Nawewe unakuwa kama umetokea bushozi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2006

    BUSHOZI NDO NINI JAMANI?WENGINE TUP O SEHEMU AMBAYO HATUSIKII KISWAZI.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2006

    hawa wazungu ndo wanaotafuta makaratasi huku kwetu. Poa tuu, lakini hawa dada zetu kama wanatoka pwani basi wajiandae vizuri kwa sababu wazungu wote ni magovi, na watu wa pwani hawapendi mchezo wa govi

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 30, 2006

    Mpeni hongera! Hongera sana dada. Wabongo hamkosi la kusema doh. Inasikitisha!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 30, 2006

    Hii ndoa ni ya ugumu wa maisha na hao wazungu wanaonekana ni staili yao kuoa wanawake wa kiafrika wenye maisha magumu.ona walivyoigana kwani huyu kaona Ghana huyu shemeji yetu kaoa bongo...hakuna mapenzi hapo twaekti tuuu....jamani

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 30, 2006

    mapenzi yapo!! mbona hivyo!!!???

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 31, 2006

    Lipi jema hadi mwache kusema mnachonga sana juu ya ndoa za watu za kwenu je tumeni picha kwa issa tuone hiyo mijimama na mijibaba yenu asante dada kwa kuleta mbegu ya kiafricast tz mfano kwa wengine.mapenzi hata ....iwe na g...poa tu .

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 02, 2006

    bora upate karatasi dada yangu maanaake hawa wazungu hawaeleweki!!
    kasoro yao ni kwenda jandoni hawataki!
    sijui chumvini unakwendaje !

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 03, 2006

    dada zetu watanyonya magovi tuu hivyo hivyo kumaamazao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...