Home
Unlabelled
kisongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi tupe na za pale KIBAIGWA maana napo mabucha yapo njenje waheshimiwa wakirudi huwa wananunua mbuzi mzima zawadi kwa mama, lakini mainzi kibao!
ReplyDeleteebwanae Michuzi acha kututoa udenda watoto wa wenzio,naiona kwa mbaali tu lakini vimate vyantoka kama nini.!na moja ya vitoweo muhimu sana
ReplyDeletehawa jamaa wa huko ni kibiko huyo mwenye koti jeupe ni nani ngariba? maana wanakeketa hadi mbuzi....kurya,kerewe,zanaki na wajita
ReplyDeleteshika adabu yako kabila hizo zina heshima yake. koma
ReplyDeleteHapo geita kuna mtaa unaitwa Balenge halafu kuna sehemu inaitwa lake view (pub)kwa monde hapo acha bwana, halafu kule mgodini kuna sehemu inaitwa mchauru village pametulia, tatizo la huu mji ni vumbi mpaka kwenye meno halafu hamna starehe zaidi ya pombe na mikasi na jamaa wa migodini si unajua walivyo na kisu (hela)ma CD kibao wanaenda kutega mingo huku
ReplyDeleteMai Godi! Yaani bucha iko kwenye dampo kabisaaa. Na sia ajabu jamaa amnaokota hiyo mifuko ya plastiki pembeni anaiosha na kisha kuwafungia wateja wake kitoweo!
ReplyDeleteHiyo ni Bucha bana sio dampo, wewe umekulia wapi? unafikiri hata minyama unayokula bongo inachnjiwa wapi? Tena usipoangalia hiyo unaoita dampo ni safi kuliko nyama ya bongo inakochuniwa, hata mibucha yao ukiingia nani siku hiyo hiyo utakuwa vejeteriani, na mboga mboga nazo zitakushinda kwani mbolea na maji yanayotumika kuzikuza ni Mungu anajua tu.
ReplyDeleteKama unataka kuwa vitu visafi ni sharti uvifanye wewe mwenyewe. Kazi kwako sasa!
VIBUDU,VIBUDU,VIBUDU...!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete