hiyo ya njano ndo motel afrique ambayo sasa inakarabatiwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2006

    hivi hapo ni mtaa gani?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2006

    Kaka Michuzi,
    Hii picha umepiga ukiwa kwenye jengo la Extelecomms!
    Au nimekosea?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2006

    hiyo hoteli ni star ngapi?

    ReplyDelete
  4. hapo ni mtaa wa kaluta na bridge, ni kweli picha imepigwa toka extelecoms house, na hii hoteli haijafunguliwa bado, hivyo sijui ni star ngapi. ikifunguliwa tu nitajibu

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2006

    Hapa chini ya Hotel zamani palikuwa na supermarket moja ambayo ilikuwa ni few katika enzi hizo za Mchonga, ukiingia lazima mgambo akufuate nyuma, usije ukafisha pipi au chokolete kwenye mapumbu. Pia mlangoni mgambo lazima akushachi...duuu tumetoka far....

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2006

    Mweeee mweee mweee kumbe Bongo ndo kumependeza hivyo!!!!!!!!!!!!!! Mweee!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 02, 2006

    Juu Yangu umenena nilikwua nasoma comments za watu wote ila mmoja tu amecomment kuhus rangi ya Hotel jamani Njano?? binafsi naona sio good color maana njano na utalii talii haviendani ila labda picha lets wait maybe wataput something more to mkae it look as hotel!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...