Home
Unlabelled
solo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kinachotakiwa kufanyika ni watu wasioane.
ReplyDeletehahaa, I like the comment from the anony above me. Makes sens huh, no wedding, no divorce! Simple as that!
ReplyDeleteMihayo na Juma mnaongea nini Hakuna To go Hapo......
ReplyDeletekaka Misupu ama Misauce, umewapiga mkwara nini watu wanaouliziaga harusi ya taifa. Nashangaa bado hawajajitokeza hapa leo
ReplyDeletekaka Fadhil, japo kuwa naheshimu imani yako kama muislamu, na pia katika mila za makabila mengi (kama sio yote) ya Tanzania ndoa inachukuliwa kuwa ni kitu cha heshima..
ReplyDeletelakini siku hizi kuna imani tofauti za kidini; baadhi ya hizo huchukulia kuwa kujitoa kuishi maisha ya Utawa ili umtumikie Mola ni thawabu pia.
Hawa wapambe naona hawajabanwa njaa maana wangeshakaa mkao wakula:-)
ReplyDeleteThawabu ndo nini? ni fweza au?
ReplyDeleteJamani mbona kibichwa hapo kama cha Mihayo..daaaaaa Mihayo jamani kama ni wewe vipi tena umeoa lini? Big up to you man....This brotha is real
ReplyDelete