wapambe wa bw. harusi wakijiandaa kula solo na manyamanyama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kinachotakiwa kufanyika ni watu wasioane.

    ReplyDelete
  2. hahaa, I like the comment from the anony above me. Makes sens huh, no wedding, no divorce! Simple as that!

    ReplyDelete
  3. Mihayo na Juma mnaongea nini Hakuna To go Hapo......

    ReplyDelete
  4. kaka Misupu ama Misauce, umewapiga mkwara nini watu wanaouliziaga harusi ya taifa. Nashangaa bado hawajajitokeza hapa leo

    ReplyDelete
  5. kaka Fadhil, japo kuwa naheshimu imani yako kama muislamu, na pia katika mila za makabila mengi (kama sio yote) ya Tanzania ndoa inachukuliwa kuwa ni kitu cha heshima..
    lakini siku hizi kuna imani tofauti za kidini; baadhi ya hizo huchukulia kuwa kujitoa kuishi maisha ya Utawa ili umtumikie Mola ni thawabu pia.

    ReplyDelete
  6. Hawa wapambe naona hawajabanwa njaa maana wangeshakaa mkao wakula:-)

    ReplyDelete
  7. Thawabu ndo nini? ni fweza au?

    ReplyDelete
  8. Jamani mbona kibichwa hapo kama cha Mihayo..daaaaaa Mihayo jamani kama ni wewe vipi tena umeoa lini? Big up to you man....This brotha is real

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...