Home
Unlabelled
IDD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sana Michu kwa kunikumbusha sura ya Nguli wa siasa za Zenji aliyetaka kuwa Rais wa milele kwa sababu eti Wazenji tunampenda sanaaa.Ni komando huyu sijui aliupatia wapi ukomandoo wake.Bahati mbaya jamaa aliachana na my wife wake.Nawaona Ally Mwinyi.Amani Karume,Pandu Kificho n.k.Hao wote hapo ni maal-watan wa visiwani.Ushauri wa bure kwenu ma-alwatan wa Unguja mkubuke pia kwenda na Pemba maana ni sehemu ya visiwa vya Zenj na Muungano pia.
ReplyDeleteHili Swala la muungano wala sioni kama lina utata wowote, kwanza walioanzisha huu muungano (Nyerere na karume wote wamesharudisha jezi)
ReplyDeletekwanza kumbukeni chakula na Umeme vinatoka bara, baada ya muungano kuvunjika mtakula karafuu zetu na chakula kitaletwa toka OMANI. na pia kuja bara itabidi muombi VIZA. Halafu tutaona nani atakuwa looser!!
Mbona watu wa CUF hawapo hapa kina Maalim Seif na Babu duni walikuwa wapi?
ReplyDeleteimependeza maashalaah, Mungu aizidishe nuru.
ReplyDeleteWaliswalia pemba
ReplyDeleteKomandoo bila Vikao vya Dodoma naamini sasa ungekua rais wa maisha Z'bar.
ReplyDelete