Home
Unlabelled
kinadada
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HMMMMM DADA YANGU UNGEKUWA UINGEREZA HIYO IJABU UNGEAMBIWA UVULIWE.NAKUPA PONGEZI SANA DADA YANGU UNACHAPA KAZI NA KUFUNIKA KITU HAKITAKIWA KUONEKANA MBELE YA WATU LAKINI ISIJE IKAWA NGUVU YA SODA TUU KWANI MFUNGO UKIISHA UNALITUPA PEMBENI UKAENDA NA WAKATI.tHANKX KEEP IT UP
ReplyDeleteMarekani kina dada ndio wako mbele katika hizi kazi. Kimefika kipindi ambacho hakuna kazi ya akina dada wala akina kaka.
ReplyDeleteMichuzi hebu cheki :-
ReplyDeletehttp://www.uconnhuskies.com/sports/MBasketball/2007/Bios/Thabeet.html
Hongera dada kwa uwongo wa kujifanya joto la Dar es salaam hulisikii ukiwa ndani ya hilo hijabu zito jeusi.Kuna amri ya Mungu inasema usijiue.Kitendo cha kulivaa hijabu hilo kwenye joto kali la Bongo ni kujiua mwenyewe kwa joto.Hongera kwa kujilipua kwa joto kama wapalestina ili uwahi ahera.
ReplyDeleteMichuzi hebu mcheki mbwa ndogo hasheem..
ReplyDeletehttp://www.uconnhuskies.com/AllStories/MBasketball/2006/10/25/20061025b.html
kazi nzuri wapendwa!
ReplyDeleteMwenyezi Mungu akujaalie dada wa watu, akupe nguvu ya kuendelea kufunika kichwa, akuepushe na vishawishi vya hapa na pale.
ReplyDeleteMichuzi lile swala la uraia wa nchi mbili Tanzania limeishia wapi? sasa hivi mbona kimya kitupu? au ndio jamaa wanaona tutafaidi sana nini?
ReplyDeleteDada weka contacts zako, nataka nikuchumbie, sababu kwanza hautakua golikipa alaf unajiheshimu na uko mzuri sana,
ReplyDelete