Home
Unlabelled
mbilinyi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
AHADI ZA KIKWETE ZILIKUWA ZA KWELI, HAKUMTUMIA TU ASHA-ROSE MIGIRO. KWELI BWANA KAMPA CHEO. PUNDE ALIPOPATA URAISI.
ReplyDeletembona mbilinyi anaonekana kalala..???
ReplyDeleteni kweli kroashia tulitakiwa tuanze nao ushirikiano. Ila huyu profesa mke wako mkroashia, nini? Maana nakumbuka alikuwa na mke mzungu.
ReplyDeleteBinti wa Mbilinyi yule NALI hana noma totos ana-act kizungu, muulizeni ALI MAXI atawapa data zote.
ReplyDeleteBWANA MICHUZI,
ReplyDeleteHII BLOG SASA INACHUKUA MUDA SANA KUFUNGUKA. FANYA MAMBO MZEE........
HAPO KULIA UMWEKA 'TOVUTI MUHIMU' ZA AKINA KIKWETE NA SHEIN-MIE NASHAURI UZIONDOE-HIZO SIO TOVUTI MUHIMU KWA WATU WANAOTEMBELEA HII BLOG.. KWA MAONI YANGU
Kuna tofauti gani baina ya ajenti wa nchi ya nje na balozi honori, kama alivyo Prof. Mbilinyi?
ReplyDeleteNakuunga mikono na miguu anony wa 5:33. Hii blog sasa imekuwa kimeo katka kufunguka. Au Michuzi una up load mafaili makubwa mno? Ukichanganya na u-slow wa internet ya Bongo ndo balaa kubwa. Pia kama alivyoshauri anony hapo juu, Kikwete Shein, na makala nyingine za miezi sita iliyopita hazina mpango, pengine nazo zinachangia kupunguza speed. MK naelewa unalea, lakini binti akilala tafadhali mrekebishie michuzi tuendelee kufaudu siye. Amina
ReplyDeleteMICHUZI MBONA BLOG YAKO INACHUKUA MUDA KUFUNGUKA NINI TENA MBAYA?.
ReplyDeleteNi kweli wandugu hata mimi nilishaona Tangu takribani week 2 hivi hii blog imekuwa slow sana. Cha ajabu hizo habari hapo kulia haziko current
ReplyDeleteAu wabaya wa michuzi wameshatia mkono wao humu? Nasema washindwe kwa jina la YESU
ReplyDeletekama nimeelewa vibaya nisahihisheni jjamani,
ReplyDeletehapa maana yake ni kuwa Prof Mbilinyi anaiwakilisha nchi ya croatia hapa nchini,kwa maneno mengine ni kuwa yeye ni balozi wa croatia hapa nchini au??
inamaana kateuliwa na rais wa croatia??
Nashukuru kwa ushauri mzuri mlio utoa, Ata mimi nililiona hilo swala ila ndio muda sikuupata. Kwa Niaba ya Issa Michuzi napenda kuwahakikishia blog hii yenu muipendayo imerudi kama mwanzo yaani inafunga kwa haraka kama mwanzo.
ReplyDeleteNashukuru,
©2006 MK
NI KWELI MICHUZI NAOMBA KUSAPOTI WATU HAPO JUU.
ReplyDeleteBLOG YAKO SIKU HIZI IKO VERY SLOW, INACHUKUWA MUDA MREFU KU-LOAD. VIPI HUJALIPA FEE KWA GOOGLE?
Hivi yule binti wa huyu baba NALI MBILINYI yuko wapi siku hizi? na Je ameolewa?
ReplyDeleteHayo ma-viti ni makubwa mno. hayafai kwa ofisi.
ReplyDeleteBila shaka tatizo la ugumu wa blog ya michuzi kufunguka linaelekea kupata utatuzi. Labda ni kweli zilikuwa hizo link za kina Kikwete, Shein na makala kibao za miezi kadhaa iliyopita. Michuzi na MK endeleeni kuboresha kablog ketu haka. Michuzi hebu mwulize Joni mwaipopo yuko wapi siku hizi?
ReplyDeleteSijui ni matatizo ya kuukimbia umande au nini.SIMONI MBILINYI ATEULIWA KUWA BALOZI WA CROATIA NCHINI TANZANI!!!!!!.Kwa maana hiyo ameteuliwa kuwa mamluki ili kuisemea Croatia badala ya Tanzania?Hivi ikitokea mgongano baina ya Tz na Croatia huyu Mbilinyi atakuwa upande gani?Jamani wanablogu nitoeni gizani mie.Samahani msinitukane ni kwa ajili ya kutaka kuelewa.Chonde2.
ReplyDeleteJamani,
ReplyDeleteHuu utaratibu ni kawaida tu. Nchi inakuwa haina pesa za kumweka balozi wakati mambo yanayoendelea hapo labda sio makubwa sana. Tanzania tuna balozi wa namna hiyo
pale Holland na labda nchi zingine.
Nafikiri prof. Mbilinyi kasoma na kuoa Croatia kwahiyo anaijua nchi hiyo vizuri.
Kuhusu Uzalendo unabaki wapi, yeye ni Mtanzania na kuwa mwakilishi
wa Croatia ni kazi tu sawa na wewe kuteuliwa au kupewa kazi kwenye
shirika la Makaburu hapo Dar, au kuwa mfanyakazi wa EU hapo Dar nk.
Asante sana anony wa 10:31am.Ama hakika nimeielewa mantiki nzima ya cheo cha BALOZI WA HESHIMA.Blog hizi zinaelimisha.
ReplyDeleteMHESHIMIWA VIPI BWANA, HII BLOG YETU NDIO INAFANYA WATU WANA KEEP TOUCH.
ReplyDeleteKUNA SWALI LILIULIZWA KUHUSU NALI MBILINYI, MIE NAMFAHAMU NIKATOA JIBU KWA MUUSIKA ALIYEULIZA SWALI. LAKINI HUJAPOST MAJIBU YAKE MPAKA SASA KWA NINI? MAANA HATA HUYO MTU HAPO ATAONA MBONA HII BLOG SIYO RELIABLE TENA? MAANA SIKU ZOTE WOTE TUNAAMINI HII BLOG NI VERY RELIABLE SOURCE OF INFORMATION. USITUANGUSHE BWANA. KULIKUWA HAKUNA MATUSI ILA MAJIBU YA UHAKIKA KUHUSU HUYU BINTI. KULIKONI BASI WAAMBIE WATU WASIULIZE MASWALI. MAANA HAWATAPATA MAJIBU TENA.
Ni kweli hii blog imeanza kutokuwa reliable.Hivi maoni yetu mpaka uyapeleke state house yasomwe ndipo uyatoe michuzi? Blog hata USA Bush huzitumia sana kupata data na kujielimisha na kumsaidia.Sometimes anasaidiwa vilevile.Sasa Michuzi kama watu wanataka kukudhibiti kwenye hii blog tutaihama watu wakose source of some useful information.
ReplyDeleteJe Prof kasamehewa ile skando ya mafuta? Hivi bado tunadumisha utamaduni wa kuwalea wabovu au yeye alikuwa mbuzi aliyetolewa kafara?
ReplyDelete