Home
Unlabelled
simba wa yuda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MWALIMU ALITAKA KU UNITE AFRIKA NZIMA ENZI HIZO.
ReplyDeleteSASA VIONGOZI WA LEO MPO WAPI???
KWANINI TUSIUNITE WAAFRIKA WOTE SASA .TUJENGE HIGH WAY MOJA KUTOKA ALEXANDRIA MPAKA DURBAN NATAL.
NYINGINE KUTOKA DJIBOUT MPAKA SENEGAL .PIA TUWE NA VYUO VINGI AMBANYO VITA ADMIT WANAFUNZI KUTOKA NCHI ZOTE 53 ZA AFRIKA .BAADA YA HAPO TUTACHAGUA RAIS WA AFRIKA-TUTAMUWEKA BARAKA OBAMA KAMA ASIPOSHINDA UCHAGUZI WA 2008 AU TUTAMKABIDHI COLLIN POWELL -KWANI ANAHASIRA SANA NA BUSH KUHUSU DARFUR
SEE YA'LL
Jina lako tu linahalalisha hayo maoni yako.
ReplyDeleteGreetings in the name of the most high I AND I Selassi I,Huyu ndiye mfalme wa wafalme.Jah live
ReplyDeletesawa kaka mfalme wa wafalme, lakini Mengistu hakuelewa hiyo!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteBlog yako imekuwa extremely slow.Nadhani huna budi kutoa au kupunguza hizo makala zilizoko upande wa kulia ukizingatia nyingi zake zimeshapitwa na wakati.Badala yake unaweza kuweka makala mbili tatu tu kwa wiki.
Ikumbukwe kwamba huyu bwana aliikimbia nchi yake wakati huo wa vita, tena basi alikimbilia ulaya... wakati wananchi wake wanapambana na majeshi ya Mussolini lakini wakawini vilevile kisha jamaa akarudi 1941.
ReplyDeletekamanda wapi bwana moto umewaka katimua akarudi baadaye kushapoa...
ReplyDeleteHuyo ndiye Ras Tafari Mekonnen mwenyewe, mfalme wa mwisho katika kabila la Yuda, naye alitawala miaka 40 kama mfalme Daudi na Sulemani
ReplyDeletemi sielewi kiundani kwanii rastafarian wanamchukulia haille selasie km masiha wao,lkn namkubali kwa kauli zake thabiti juu ya usawa wa binadamu.
ReplyDeleteHaka ka-mfalme kalikuwa na kajibwa kake kadogo...alikuja hakaachi nyumbani. Ka-mfalme haka kalikuwa kakiwatawala wale ambao hawakuwa katika ukoo wa ka-mfame haka, mithili ya watumwa....unyarubhanja (feudalism, per excellence). Zidumu fikra za Mangestu kwa kuwakomboa Wa-Ethiopia wote. Eti,urasta...kabila gani hili...bangi mingi! Holy weed! Cures all major maladies! We smoke it! Ya, ma'n, where is the mango, ma'n?
ReplyDeleteAko ka-mfame ka Yuda kalikuwa na ki-mbwa kidogo kilichokuwa kinaandamana naye. Kalitawala wa_ethiopia wasio wa ukoowa kifalme mithili ya utumwa wa unyarubhanja (feudaliusm)!
ReplyDeleteLakini kameacha legasi kubwa ya kabila la Rastafarians huko Visiwa vya Karibeani (Jamaika hasa), Ulaya, Ethiopia, South Africa, na sasa Afrika, Bongo ikiwa ni mojawapo. Kuna kabila la ma-Rasta...bangi mingi! Cures all maladies! We s'moke it! Ya'man, we grow it me-yard! It Holyweed! Ya'man, me give the mango and my holyweed!