Home
Unlabelled
utalii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Utafikiri mwanamama huyo pichani anatoka sauzi!
ReplyDeletePOA SANA DADA KAPENDEZA UTAFIKIRI SI MBONGO.
ReplyDeleteLAKINI NIELIMISHENI MWENZENU, HAYA NI MASHINDANO YA NAMNAGANI? MANA UMISS TZ, UNAFAHAMIKA DUNIA NZIMA. LAKINI SIKU HIZI KUMA MA UMISS WA KILA AINA.
MI NAONA NI NJIA TU YA KUTENGENEZA PESA AU SIO WADAU? KAMA ULE MCHEZO WA PYRAMID ULIOANZISHWA NA ROSE PAMOJA NA SHOGA YAKE MPENZI ZAINAB? MAANA BONGO HAPA KIKIANZISHWA KITU KAMA KUNA MASLAHI, POA HAMNA NOMA. KAMA KUNAKUFAIDIKA, NA KUFAANA. NI SAFI.
kiswahili kazi kweli kweli. lazima ni mzungu aliyejifunza kiswahili ndio aliandika bango hilo. sijui alikuwa anataka kuandika FAINALI. au inamaana nyingine
ReplyDeleteAnnon 8.51:04 nomba ninukuu kiswahili chako..."siku hizi kuma ma umiss......" {mwisho wa kunukuu}naomba unieleweshe ulimaanisha nini acha kusema wenzio hawajui kiswahili.
ReplyDeleteASANTE ANONY KWA KUNUKUU KISWAHILI CHANGU, NA PIA NAOMBA RADHI KWA WADAU WOTE. THAT WAS JUST A TYPING ERROR. NILIMAANISHA "SIKU HIZI "KUNA" MA-UMISS KIBAO.
ReplyDeleteASANTE.