kifaa kipya cha msondo ngoma ally moshi kikiachia zote sita....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa lazima alitoa kaushuzi kadogo alivyokuwa anapuliza maana duuuh si mchezo.

    ReplyDelete
  2. Nimewahi kusikia once kuwa ukitaka kuharibu shughuli za hawa jamaa wanaopuliza haya matarumbeta basi shika Ndimu karibu nao wakiwa kazini.
    Huwa wanashindwa kuendelea na kibarua chao.

    hii ni kweli????... Wadau naomba tuwekane sawa ktk hili

    ReplyDelete
  3. Sir Issa...huyu...HAJAWAHIPATA TUZO LA MWANAMUZIKI BORA KWELI..??? EEH...WATAKUWA WAMEMUONEA KAKA...

    ReplyDelete
  4. Nasikia ukipuliza hilo kwa mda mrefu lazima busha liote.

    ReplyDelete
  5. Mwambie anywe maziwa...afya yake inaonekana kudorora.Mzee huyu sasa anatakiwa kulelewa na wajukuu....huu sio umri wa kufanya shughuli kama hiyo.

    ReplyDelete
  6. mh huyu baba ashauriwe aende hospitali hicho kitu chini ya kidevu kilichoota baada ya kupuliza tarumbeta asikiangalia tu kinaweza kumharibia kibarua eti! maana hilo tarumbeta limedisfigure shingo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...