Home
Unlabelled
mshindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ee bwana michu huyu said yakubu aliwahi soma usagara sec Tanga miaka ya mwishoni mwa 90's nini, kama namkumbuka vile ana brother wake mmoja anaitwa Nuru alikuwa kipanga sana pale Ilboru 94/96 A'level. Kama ni yeye basi mambo si mabaya alikuwa na mwili mdogo pale usagarani.
ReplyDeleteHivi huyu Said Yakubu anatoka wapi. Nigeria au visiwa gani maana kama shombe vile.
ReplyDeleteMisoup aidha wewe au mwandishi yakub amechemka, huyu ni mshindi wa tatu, Felix Limo sio mshindi wa kwanza....
ReplyDeleteWa kwanza kama taarifa ya yakubu ilivyo ni Martin Lel.
huyo mshindi ni mtanzania?
ReplyDeletehongera kwa mshindi.
ReplyDeleteIla nimeshindwa kutambua kama ni "Miss" au "MR". Naomba kifahamishwa, au japo toa jina itasaidia kuelewesha.
Asante.
je huyu ni Said Yakubu aliyesomea Tambaza high school, alikuwa aliyekuwa headboy? kama ni wewe holla......
ReplyDeleteewaa jibaba ndio huyu huyu! yakubu sisi wU-TAMBA marekani tunakupa holla!
ReplyDeleteumeacha mambo yako ya ''7 UP''?!!!