saidi yakubu wa bbc akimhoji mshindi wa london marathon

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ee bwana michu huyu said yakubu aliwahi soma usagara sec Tanga miaka ya mwishoni mwa 90's nini, kama namkumbuka vile ana brother wake mmoja anaitwa Nuru alikuwa kipanga sana pale Ilboru 94/96 A'level. Kama ni yeye basi mambo si mabaya alikuwa na mwili mdogo pale usagarani.

    ReplyDelete
  2. Hivi huyu Said Yakubu anatoka wapi. Nigeria au visiwa gani maana kama shombe vile.

    ReplyDelete
  3. Misoup aidha wewe au mwandishi yakub amechemka, huyu ni mshindi wa tatu, Felix Limo sio mshindi wa kwanza....

    Wa kwanza kama taarifa ya yakubu ilivyo ni Martin Lel.

    ReplyDelete
  4. huyo mshindi ni mtanzania?

    ReplyDelete
  5. hongera kwa mshindi.
    Ila nimeshindwa kutambua kama ni "Miss" au "MR". Naomba kifahamishwa, au japo toa jina itasaidia kuelewesha.
    Asante.

    ReplyDelete
  6. je huyu ni Said Yakubu aliyesomea Tambaza high school, alikuwa aliyekuwa headboy? kama ni wewe holla......

    ReplyDelete
  7. ewaa jibaba ndio huyu huyu! yakubu sisi wU-TAMBA marekani tunakupa holla!

    umeacha mambo yako ya ''7 UP''?!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...