
KOCHA WA YANGA SREDOVIC MILUTIN 'MICHO' AMEONDOKA USIKU HUU KWA KILE ALICHONIAGA KWENYE MESEJI YA SIMU SASA HIVI KWAMBA ANAENDA KWAO KUPUMZIKA NA KUACHA ALAMA ZA KUJIULIZA KIBAO KWANI WIKI IJAYO KUTAKUWA NA KOMBE LA TASKA NA PIA INASEMEKANA ALISHAFANAYA INTAVYUU NA SUPERSPORT YA SAUZI KIONGOZI MMOJA WA YANGA KATHIBITISHA KUONDOKA KWA MICHO NA KUDAI KWAMBA KAAGA NA ATARUDI....
Kaka michuzi asante sana kwa message hii, unajua kwa Micho Yanga waliingia mkenge, Micho ni msemaji sana, mimi nadhani ndiyo ameondoka hivyo, haya Yanga mrudisheni Chamangwana au Chambua bwana kumbukeni tunaweza kutana na Simba tena.....
ReplyDeleteHeee MICHO ameodoka??? Aondoke amafiii...???(yaani MAVI??.)
ReplyDeleteAondoke tu. Timu gani isiyofundishika Hiyo! Yanga siku zote ni timu ya kubebwa, wala sio ya kufundisha mpira.
ReplyDeleteMichu, TUNAOMBA PICHA ZA PAMBANO LA SIMBA LA YANGA. Mbona hupost hizo picha licha ya kuambiwa na wadau mara nyingi? Acha hizo kaka. Ningeomba picha wakati wana-Simba wanawapokea hao mashujaa wa ligi ndogo wakiwa na kombe.
ReplyDeleteKwenye hiyo picha Micho analia, anacheka au anakohoa?
ReplyDeleteWabongo wacheni umbea... au kile Mzee Nkapa alikuwa anaita Uvivu wa Kufikiri.
ReplyDeleteMbona Maximo hayuko Tanzania na hatujasikia mkisema ameondoka na harudi?
Hawa ni makocha wa kigeni, na kila wanapopata nafasi wanahitaji kupumzisha mwili na akili. Hakuna sehemu nzuri ya kufanya hivyo zaidi ya mtu kwenda nyumbani kwake.
Yanga sio Simba inayokimbiwa na makocha bila kuagwa. Yanga kuna utaratibu ulokwenda shule, ndo maana hata Jack bado yuko klabuni licha ya waadishi uchwara kutabiri kuwa ametimula Yanga.
Kalaghabaho...
Kocha anaharisha kwa pressure ya kufundisha wasiofundishika au mahindi ya kuchoma Arusha???Kufundisha Yanga ni sawa na kumfundisha fisi kupanda mti kazi kweli kweli!!!!!!
ReplyDelete