KOCHA WA YANGA SREDOVIC MILUTIN 'MICHO' AMEONDOKA USIKU HUU KWA KILE ALICHONIAGA KWENYE MESEJI YA SIMU SASA HIVI KWAMBA ANAENDA KWAO KUPUMZIKA NA KUACHA ALAMA ZA KUJIULIZA KIBAO KWANI WIKI IJAYO KUTAKUWA NA KOMBE LA TASKA NA PIA INASEMEKANA ALISHAFANAYA INTAVYUU NA SUPERSPORT YA SAUZI KIONGOZI MMOJA WA YANGA KATHIBITISHA KUONDOKA KWA MICHO NA KUDAI KWAMBA KAAGA NA ATARUDI....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2007

    Kaka michuzi asante sana kwa message hii, unajua kwa Micho Yanga waliingia mkenge, Micho ni msemaji sana, mimi nadhani ndiyo ameondoka hivyo, haya Yanga mrudisheni Chamangwana au Chambua bwana kumbukeni tunaweza kutana na Simba tena.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2007

    Heee MICHO ameodoka??? Aondoke amafiii...???(yaani MAVI??.)

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2007

    Aondoke tu. Timu gani isiyofundishika Hiyo! Yanga siku zote ni timu ya kubebwa, wala sio ya kufundisha mpira.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2007

    Michu, TUNAOMBA PICHA ZA PAMBANO LA SIMBA LA YANGA. Mbona hupost hizo picha licha ya kuambiwa na wadau mara nyingi? Acha hizo kaka. Ningeomba picha wakati wana-Simba wanawapokea hao mashujaa wa ligi ndogo wakiwa na kombe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2007

    Kwenye hiyo picha Micho analia, anacheka au anakohoa?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2007

    Wabongo wacheni umbea... au kile Mzee Nkapa alikuwa anaita Uvivu wa Kufikiri.

    Mbona Maximo hayuko Tanzania na hatujasikia mkisema ameondoka na harudi?

    Hawa ni makocha wa kigeni, na kila wanapopata nafasi wanahitaji kupumzisha mwili na akili. Hakuna sehemu nzuri ya kufanya hivyo zaidi ya mtu kwenda nyumbani kwake.

    Yanga sio Simba inayokimbiwa na makocha bila kuagwa. Yanga kuna utaratibu ulokwenda shule, ndo maana hata Jack bado yuko klabuni licha ya waadishi uchwara kutabiri kuwa ametimula Yanga.

    Kalaghabaho...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 11, 2007

    Kocha anaharisha kwa pressure ya kufundisha wasiofundishika au mahindi ya kuchoma Arusha???Kufundisha Yanga ni sawa na kumfundisha fisi kupanda mti kazi kweli kweli!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...