leo nilibahatika kukaribishwa dina na wadau toka ughaibuni. nawashukuru sana kwa ofa yao...

waosha vinywa oneni mikono nilikoiweka safari hii, maana hamkawiigi nyie

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2007

    Michuzi, I real like you. Unanifanya nicheke tu hata kama sima hamu ya kucheka.....Kweli leo hamna la kusema manake umekaa kwa heshima kweli.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2007

    Mh kweli leo ....ila nauliza walishindwa kufoot the bill on the second round naona sahani yako mpaka waiter aliiondoa au ndio uko kwenye diet mwenzetu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2007

    easy,,

    mimi nikija nitakununulia soda,,and pliiz UNITANGAZE kwa blog.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2007

    leo mikono umeweka pembeni ehe? Vipi hapo meza mbona tupu? Mwaga ze laga .....

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2007

    Michuzi sahani yako iko wapi? ulikuwa dinner kweli au ni wao ndio walikuwa dinner? Halafu dinner yao (yenu) inaonekana ilikuwa NYEMBAMBAA!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2007

    hahahahaaa, Michuzi bwana!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 04, 2007

    Michuzi fix,sio kwamba hataki kuweka hapo mkono,tatizo anaogopa hao wote wana wenyewe hivyo akifanya ujinga watamtamimu mbaya sana.huwa anatekenya ma-single mum na madirvocee only.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 04, 2007

    kama sijakosea, wa katikati ni corporate manager wa Barclays Bank Bi Chanja

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 04, 2007

    hujaambiwa ujitetee unaanza kujitetea kuhusu ulipoiweka mikono yako.

    Naona sasa wewe misoup ndio umekuwa muosha kinywa!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 04, 2007

    Amekataa kushikwa huyo..

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 04, 2007

    Tehe! tehe! teh! teh! tee! tee!
    Hongera kaka Michuzi. Kweli bwana ukiweka mikono mabegani mwao huwa wanachonga sana watu.
    Lakini hao wanatoka ughaibuni kweli au unawafagilia tu? Mbona wanakula na kunywa wenyewe bila hata kukununulia wewe angalau juisi tu jamani!?! Mweeh! Au ndo wameshaambukizwa kalcha za wazungu kwamba mkienda pahala kula kila mtu anajilipia mwenyewe, nawe ulikuwa hujabeba pesa? Tehe! teh! tee! Pole sana ndugu yangu.
    Au hukukaribishwa, uliwakuta tu wanakula we ukaenda kujipachika hapo? Tehe! teh! tee!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 04, 2007

    Michu,

    iyo ni lunch au Dina? mana naona kama ni mchana ivi? ukiangalia style ya meza,miwani ya akina dada,chakula,glass etc.Twambie bwana hahahah.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 04, 2007

    Safi sana Michu,maana kale katabia ka hiyo mikono yako kalishaanza kuota mizizi.Wanasema 'jicho likikuingiza dhambini litoe,hivyohivyo hata mikono nayo uikate' Yako ilishafikia pa kukatwa ili usianguke dhambini kwa ajili ya nyonga za wadau

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 04, 2007

    wewe mich. hapo sio food wrd ya zamani maana naona panavyoonekana mh!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 04, 2007

    HAWA KAMA HAWATOKI INDIA BAHATI....
    HAYA ANGELA....


    BRINDAVAN COLLEGE

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 04, 2007

    Michu,hapo sio food world kweli?hizo chupa za plastic za tomato sauce zao huwa zinanikera na tomato sauce yenyewe.Hizo sahani zao na hizo meza zao zinaonyesha ndio penyewe,pale wanafunga saa 2 kwa hiyo naona hiyo sana sana itakuwa late lunch kama ulikula.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 04, 2007

    UKIPIGA PICHA ZA NAMNA HII MHESHIMIWA MICHUZI......NI VYEMA KABLA HAMUJAMALIZA KULA......ILI MEZA IWE IMEJAA NA KUONYESHA MAAKULI YOTE.......SASA HAPO MEZA TUPU, VIPI???UNATUANGUSHA NA UMESEMA WAGENI HAO WA UGHAIBUNI ITAONEKANA KAMA WAMECHACHA. VIPI? AAAH!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 04, 2007

    MMEACHA MADENI YENU HUKU INDIA KWENYE MAJUMBA YENU.. MUACHE KUWAPA WATU OFFER

    BANGALORE INDIA

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 04, 2007

    Katika hili Michu umejitahidi, mikono inaonekana. Ila huwezi kuacha asili... Wenye akili zetu tumekuelewa. OC'-Sinza.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 04, 2007

    KWELI HUYO WAKULIA NI ANGELA
    HEH UNAMAMBO UMEENDA KUMUONA MICHUZI WAKATI UNA SUPPLIMENTARY KAMA UTITIRI

    UACHE KUJIANIKA KWENYE MABLOGI

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 04, 2007

    uyo wakulia ni kituo cha basi

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 04, 2007

    Wanafunga saa mbili kwa hiyo weew ulitaka aiite late lunch????

    Jamani dinner sio suppper. kama amekula before 8 pm hiyo ruksa kuita dinner. Muacheni Michuzi wa watu akiita jina lolote analotaka mradi kala....Kama ni pancakes, eggs, toasted bread, oatmeal saa mbili usiku ni yeye.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 04, 2007

    huyo wa katikati heleni ka usolo, halafu wamevaa saresare za saulasaula manzese

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 04, 2007

    mh mh mh mh kaka michu umempata wapi huyo Angela?mtt kinasa huyo sijui huko india ni vipi,maana ankuja kuchta huku anavihamishia uhindini anyway ka michu umependeza sana

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 04, 2007

    Jamani kwani India nako ni Ughaibuni? Kule si Fifth World tu kama Bongo tu.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 05, 2007

    Acha kutukana watu wa ughaibuni, dinner tunayoijua haipo chovu kama hiyo.
    Hao warembo wamekutia changa la macho.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 05, 2007

    Ndio vizuri kila mkija bongo msiache kumtoa out michuzi kuonyesha gratitude zenu kwa wema wake wa hii blog.

    Ila msisahau kumtoa for dinner na familia yake. Nyie ni Michuzi tuuuu mukaribishe na familia yake yote ....okay..

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 05, 2007

    He he he he Angela.....

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 05, 2007

    Hapo naona ilikua three course meal? I hope hiyo ilikua ni just a desert na michuzi ali pass hiyo...

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 06, 2007

    Sasa naon mtu choka onge neno zake.Ati najifanya jinga hajui kuwa India zuri.Mbona wanafunzi wengi iko pelekwa yeye asome kule.Ach tani bwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...