Home
Unlabelled
dina
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, I real like you. Unanifanya nicheke tu hata kama sima hamu ya kucheka.....Kweli leo hamna la kusema manake umekaa kwa heshima kweli.
ReplyDeleteMh kweli leo ....ila nauliza walishindwa kufoot the bill on the second round naona sahani yako mpaka waiter aliiondoa au ndio uko kwenye diet mwenzetu.
ReplyDeleteeasy,,
ReplyDeletemimi nikija nitakununulia soda,,and pliiz UNITANGAZE kwa blog.
leo mikono umeweka pembeni ehe? Vipi hapo meza mbona tupu? Mwaga ze laga .....
ReplyDeleteMichuzi sahani yako iko wapi? ulikuwa dinner kweli au ni wao ndio walikuwa dinner? Halafu dinner yao (yenu) inaonekana ilikuwa NYEMBAMBAA!
ReplyDeletehahahahaaa, Michuzi bwana!
ReplyDeleteMichuzi fix,sio kwamba hataki kuweka hapo mkono,tatizo anaogopa hao wote wana wenyewe hivyo akifanya ujinga watamtamimu mbaya sana.huwa anatekenya ma-single mum na madirvocee only.
ReplyDeletekama sijakosea, wa katikati ni corporate manager wa Barclays Bank Bi Chanja
ReplyDeletehujaambiwa ujitetee unaanza kujitetea kuhusu ulipoiweka mikono yako.
ReplyDeleteNaona sasa wewe misoup ndio umekuwa muosha kinywa!
Amekataa kushikwa huyo..
ReplyDeleteTehe! tehe! teh! teh! tee! tee!
ReplyDeleteHongera kaka Michuzi. Kweli bwana ukiweka mikono mabegani mwao huwa wanachonga sana watu.
Lakini hao wanatoka ughaibuni kweli au unawafagilia tu? Mbona wanakula na kunywa wenyewe bila hata kukununulia wewe angalau juisi tu jamani!?! Mweeh! Au ndo wameshaambukizwa kalcha za wazungu kwamba mkienda pahala kula kila mtu anajilipia mwenyewe, nawe ulikuwa hujabeba pesa? Tehe! teh! tee! Pole sana ndugu yangu.
Au hukukaribishwa, uliwakuta tu wanakula we ukaenda kujipachika hapo? Tehe! teh! tee!
Michu,
ReplyDeleteiyo ni lunch au Dina? mana naona kama ni mchana ivi? ukiangalia style ya meza,miwani ya akina dada,chakula,glass etc.Twambie bwana hahahah.
Safi sana Michu,maana kale katabia ka hiyo mikono yako kalishaanza kuota mizizi.Wanasema 'jicho likikuingiza dhambini litoe,hivyohivyo hata mikono nayo uikate' Yako ilishafikia pa kukatwa ili usianguke dhambini kwa ajili ya nyonga za wadau
ReplyDeletewewe mich. hapo sio food wrd ya zamani maana naona panavyoonekana mh!!!
ReplyDeleteHAWA KAMA HAWATOKI INDIA BAHATI....
ReplyDeleteHAYA ANGELA....
BRINDAVAN COLLEGE
Michu,hapo sio food world kweli?hizo chupa za plastic za tomato sauce zao huwa zinanikera na tomato sauce yenyewe.Hizo sahani zao na hizo meza zao zinaonyesha ndio penyewe,pale wanafunga saa 2 kwa hiyo naona hiyo sana sana itakuwa late lunch kama ulikula.
ReplyDeleteUKIPIGA PICHA ZA NAMNA HII MHESHIMIWA MICHUZI......NI VYEMA KABLA HAMUJAMALIZA KULA......ILI MEZA IWE IMEJAA NA KUONYESHA MAAKULI YOTE.......SASA HAPO MEZA TUPU, VIPI???UNATUANGUSHA NA UMESEMA WAGENI HAO WA UGHAIBUNI ITAONEKANA KAMA WAMECHACHA. VIPI? AAAH!
ReplyDeleteMMEACHA MADENI YENU HUKU INDIA KWENYE MAJUMBA YENU.. MUACHE KUWAPA WATU OFFER
ReplyDeleteBANGALORE INDIA
Katika hili Michu umejitahidi, mikono inaonekana. Ila huwezi kuacha asili... Wenye akili zetu tumekuelewa. OC'-Sinza.
ReplyDeleteKWELI HUYO WAKULIA NI ANGELA
ReplyDeleteHEH UNAMAMBO UMEENDA KUMUONA MICHUZI WAKATI UNA SUPPLIMENTARY KAMA UTITIRI
UACHE KUJIANIKA KWENYE MABLOGI
uyo wakulia ni kituo cha basi
ReplyDeleteWanafunga saa mbili kwa hiyo weew ulitaka aiite late lunch????
ReplyDeleteJamani dinner sio suppper. kama amekula before 8 pm hiyo ruksa kuita dinner. Muacheni Michuzi wa watu akiita jina lolote analotaka mradi kala....Kama ni pancakes, eggs, toasted bread, oatmeal saa mbili usiku ni yeye.
huyo wa katikati heleni ka usolo, halafu wamevaa saresare za saulasaula manzese
ReplyDeletemh mh mh mh kaka michu umempata wapi huyo Angela?mtt kinasa huyo sijui huko india ni vipi,maana ankuja kuchta huku anavihamishia uhindini anyway ka michu umependeza sana
ReplyDeleteJamani kwani India nako ni Ughaibuni? Kule si Fifth World tu kama Bongo tu.
ReplyDeleteAcha kutukana watu wa ughaibuni, dinner tunayoijua haipo chovu kama hiyo.
ReplyDeleteHao warembo wamekutia changa la macho.
Ndio vizuri kila mkija bongo msiache kumtoa out michuzi kuonyesha gratitude zenu kwa wema wake wa hii blog.
ReplyDeleteIla msisahau kumtoa for dinner na familia yake. Nyie ni Michuzi tuuuu mukaribishe na familia yake yote ....okay..
He he he he Angela.....
ReplyDeleteHapo naona ilikua three course meal? I hope hiyo ilikua ni just a desert na michuzi ali pass hiyo...
ReplyDeleteSasa naon mtu choka onge neno zake.Ati najifanya jinga hajui kuwa India zuri.Mbona wanafunzi wengi iko pelekwa yeye asome kule.Ach tani bwana.
ReplyDelete