
Brother Issa,
Hapo nipo kwenye Global Forum Vienna wiki iliyopita na Former Prezdaaa of Nigeria mzee Yakubu Gowon. Kama unakumbuka ndiye aliyeiongoza Nigeria katika kipindi kile cha vita vya Biafra, bila ajizi nilimuuliza "On Nigeria's Reasons for Fighting?" na jinsi ilivyokuwa. Na haya ndiyo yalikuwa majibu yake:
"We did not take the Ibos as our enemies; they are our brothers. As far as I am concerned, we fought a war to keep the country one and united. I therefore cannot afford to be callous in the way we prosecuted that war. The most challenges we had, was to think of the problems of reconstruction, reconciliation and winning the heart, in order to have a happy country in the end. It was not just easy thing to say, Precisely, we will call them enemies, and we will fight them as enemies." But then, to be honestly, it would remain with us and embarassing the future of our nations."
Dogo naona unaendeleza mapambano, sisi wana Jitegemee, tunakutakia kila la kheri.
ReplyDeletekaka nakukubali ,,aminia sana..
ReplyDeleteila umeuchuna tena ghafla vipiii???
Duh! wenzio wakipata nafasi kama hizo huwa wanaulizia madili na jinsi gani ya kuwasaidia wazee kama hao kusafirisha petrodolars. Hapo mwanangu usingeleta siasa wewe ungempa dili tu huyo mzee.
ReplyDeleteEehh bwana huyo jamaa alikuwa mbishi. Namkumbuka nilisoma naye Kigurunyembe, kama sikosei alikuwa akiitwa Dube au Davis. Hongera ndugu yangu kwa matawi ya juu. tuwasiliane email yangu ni hans@gmail.com Tukumbushane enzi zile za mzee Mkwidu.
ReplyDeleteKijana mikutano mikubwa kiasi hicho, hata kuniga tai? hapo enzi zetu lazima unakung'uta tai ili iendane na koti.
ReplyDeleteVita ya Biafra wabongo naona tulijitoa kimasomaso kumpiga tafu General Ojwukwu. Hivi huyu mtu bado yupo? na anafanya nini kwa hivi sasa?
ReplyDeleteMdau tunashukuru na tumefarijika sana kuwa angalau umemuuliza huyo mzee swali la msingi sana, sijui kwa nini Waafrika tunapenda kuuana.
Michuzi,
ReplyDeleteUlisema huoni watoto wa Chelsea,huyo ni mtu wa chama letu hapa Chelsea. Naona sasa tumeanza kukutumia salamu. Chelseaaaaaaaaaaaaaa hoyeeeeeeeeeeeee.
BONGO FC
Naona machizi wako kina Magonela, Chacha, Raymond, Fide, Ezza, Wax, Waga wapo hapo kiwanjani wanakenua.
ReplyDeleteHuyo ni nani tena Bro. Misupu ????? Mbona sisi wana BLOG wazoefu wala hatumfahamu ???? Tuambie ni nani kabla hatujampa PONGEZI au ........ !!!
ReplyDeleteHaya bwana Denis Londo tumekuona,sisi tupo tu huku Finland.
ReplyDeleteVipi huyo mzee ameshakupa dili jinsi gani ya kutumia pesa za rushwa? manake Wanigeria kwa rushwa hawajambo.
ReplyDeleteJamaa ameiva utafikiri sio Mbongo, endeleeni kutuibia pesa zetu kwa kisingizio cha conference alowance.
ReplyDeleteUkitaka kujua upeo wa Watanzania soma MICHUZI
ReplyDeleteAaaah Londo babake vipi kichaa wangu mwanangu! mjukuu wako Sangu Sangu nipo ndani Houston. Rudi home kunalipa siku hizi babake, si ulishasikia Massawe kashakuwa DC Kinondoni.Hapa, nasubiria kiinua mgongo halafu kwanja kubwa Minazi mirefu Kipawa babake.
ReplyDeletePerez
ReplyDeletehuyo dogo mmoja anaitwa Davis Londo,usiogope mwili dogo sana huyo. Nakumbuka wakati namaliza Six Jitegemee mwaka 1998 yeye alikuwa form Five pale. Anyway Hongera dogo tuwakilishe.
Wee anonymous hapo juu, sio kila mtu anakula posho za wabongo.Huyo mshikaji tupo naye huku Finland, hakai Bongo wala hana uhusiano na walaji wa pesa zetu Bongo.
ReplyDeleteUngemuomba ushauri juu ya nini cha kuwafanyia Wazanzibari kwani nao wanataka kule za Waibos. Huyu Gowon anaweza akawa consultant mzuri sana wa mgogoro wetu wa muungano.
ReplyDeleteUsibane sasa wape dili washikaji zako kina Ally Mayai na kina Njohole wenzio life linawakataa na waliendekeza mpira sasa umri unawatupa mkono.
ReplyDeleteohh wewe hongera sana jamaa yangu.
ReplyDeleteNakuona shem, vipi shoga yangu bado upo naye au zilikuwa enzi za shule tu?
ReplyDeleteMwanzo mzuri huo kijana, jitahidi tu ila onyo; usiige wenzio longo longo nyingi vitendo kidogo.
ReplyDeleteMasela wako ndani ya Texas tunakupa tano, hi nyingi kutoka mzee mwenyewe Ndonde, Chande na wa mizuka Gregory.
ReplyDeleteBaba Caldinary Pengo mwenyewe!yaaap Aminia kichaa wetu. Mambo vipi lakini? upo mitaa ya wapi kwa sasa? mshikaji Halifa bado upo naye kwa sasa? tuwasiliane basi jamaa yangu; E-mail yangu sajokiss@yahoo.co.uk
ReplyDeleteJamani nyie, upo wapi siku hizi wewe kaka? kweli dunia ndogo naomba umpe email yako au namba ya simu Ms Harrington,ili tuwasiliane, kama unanikumbuka Monica nilikuwa nasoma Manchester University ulipokuja kufanya internship.
ReplyDeleteHii sura inaishi Denmark, au ndio kama waswahili wanavyosema binadamu wawili wawili, lakini I'm sure hii sura inaishi Denmark na sio Finland kama wadau wanavyosema hapo juu.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteUnaonaje ukirudisha ule mjadala wa vazi la taifa, si unaona hao jamaa wa West wanavyotuzidi kete. Miaka 45 ya Uhuru bado hujatoka rasmi bila suti!
Mkulu!
ReplyDeleteWaka kama moto wa TIPER usiozimika kiangazi wala masika!
Songa mbele kama saa, muda na wakati visivyosimama milele!
Kwa taadhima, hekima, heshima na taaluma ulizonazo ningewafahamu wahusika ningewatumia wasifu wako na kuwavumbulisha johari na kito adimu kilichomo ndani yako kwa manufaa ya taifa letu na dunia kwa jumla.
Namuomba subuhana mwingi wa rehema akuzidishie siha ya mwili na akili.
Masalaamia, ni miye nduguyo.
Mkulu Mtimkubwa,
ReplyDeleteNaamini tunu iliyomo ndani yako na fahari tuliyo nayo wachache tunaokufahamu, naamini sitakosea nikisema tumebahatika kukufahamu na kukujua. Hakika maneno uliyoandika yamenigusa naamini ni changamoto.
Nduguyo
Mavuto