klyn katika foto shuti mpya. hivi sasa mrembo huyu kaibuka na tovuti yake http://www.klyinn.com/ na anakaribisha wadau mtembeleeni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2007

    John naona ndio umetengeneza ile website. Vipi albamu yake umemtengenezea mipini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2007

    Kwa nini asiwe model tu. Kila siku phot shoot. Anapenda kupiga picha kuliko anavyotoa cd.Hizo picha zingine ataweka wapi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2007

    Huyu ni msanii ambaye ananifurahisha sana kuanzia kwenye nyimbo zake mpaka yeye mwenyewe alivyo,nafurahi kuona ana fungua website kwa ajili ya kutangaza mziki wake zaidi.hongera dada

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2007

    Huyu binti ananifurahisha na muziki wake sanaaa! hapo kwenye picha ndo ananimaliza kabisaaaa! mapozi yametulia kichiz yani! mimi binafsi namzimia kwa vile alivo!
    tatizo lake huyu dada ukimsifia hata asemi asante!!!!! huko kwenye site yake ukimtumia e mail kumpongeza au kumpa ushauri, wala a-acknowledge kwa kusema chochote! hii ni tabia mbaya kwa kweli!
    A descent person would always say 'thank you" when you tell her you are beautiful or i love the way you are!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2007

    MKANDAMIZAJI!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 02, 2007

    MKANDAMIZAJI!

    huyu dada namkubali sana katika upande wa urembo kweli ni bomba sana na anapendeza sana. lakini kwenye kuimba zero kabisa naona kama amevamia fani tu hana sauti kinamsaidia anapendeza tu kwenye shot zake. my god kuiba hajui kabisa vyombo vinamsaidia lakini ni aibu tu. my dear kwanini usiwe mrembo tu na kuiba ukawachia akina Ray C na Lady J D na wangine. Sauti yako ni ya kuiba bafuni tu lakini sio in public wallah noma kwa wanaoelewa unatia aibu

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2007

    wee anony wa 14:00 pm una lako jambo sio bure! wivu unakusumbua!..mpaka umechapia kuimba ukasema kuiba hovyoooooooo!weeee kalia tu dada wa watu hajui kuimba wakati mwenzio anashusha track na anauza!hiyo hiyo sauti unayoiona mbovu ndiyo inayomuingizia kipato! jiulize wee domo lako linakuingizia nini at the end of the day..???mxiiii

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 03, 2007

    Kwa kweli jamaa aliyeimba wa nalala usingizi nawaota wao, mademu wa kibngo si mchezo alikuwa yuko sawa kabisa.

    Huyu Mrembo ni mmoja ya wanaopendeza kwa kweli. Kwa kweli huyu mtoto si mchezo na hakuna mwanamme anayepinga kwa hili.

    Binafsi namfagilia na ningependa kuwa naye licha ya kwamba najua ni vigumu.

    The lady is cute na sensual. All the best Klynn

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 03, 2007

    all u niggaz stop hatin' she is multi-talented and what is wrong with that. she is indeed beau,she can sing, and she can be a mode so what is you guy's problem....y'all need to leave her the fuck alone..punks'''
    kasera
    kansas city

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 03, 2007

    Kasera nenda kaoshe vyombo macDonald huna mpango wowote ng'ombe wewe

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 03, 2007

    I think thats rubbish about her not knowing how to acknowledge compliments. Some people are like that but this one, I dont think so. I wrote her to tell her how well she's doing and she was really sweet when she replied.
    We should just encourage eachother... I'm sick of just seeing Nigerians getting famous on the world stage!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 03, 2007

    ukweli huyo binti ni mrembo hila aache kuruka ruka na wanaume tofauti kila kukicha la msingi atulie kwani kipaji alichonacho alihamdulillah, akiendeleze na awe mfno bora kwa taifa. kwan wanaume kazi yao kurudusha nyuma maendeleo ya akina dada kama hao

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 03, 2007

    hi k lin, hongera ila tunaomba siku moja upige picha ukiwa realy klin pasipo hizo nywele za bandi a kama mdogo wetu flaviana matata, nadhaniii utapendeza tu pia punguza sana poz kwenye kuimba ili uwe juu zaid kama r c au jide aka mbibo, funga mkanda

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 03, 2007

    hi k lin, hongera ila tunaomba siku moja upige picha ukiwa realy klin pasipo hizo nywele za bandi a kama mdogo wetu flaviana matata, nadhaniii utapendeza tu pia punguza sana poz kwenye kuimba ili uwe juu zaid kama r c au jide aka mbibo, funga mkanda

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 03, 2007

    hi k lin dada wewe ni mrembo sana ila u a 2 short, hivyo uwez kuwa model ila jiahid sana achana na mibaba mikware inakuharibia jina...! badirika dada yetu

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 03, 2007

    Kasera cold room inakusubiri kupanga maboksi!!! msiwatishe watu na kusign USA! hahaha kazi mnazozifanya zinajulika, but Keep it up ndo maisha

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 03, 2007

    Kansas City nenda shule kajifunze na uache kujifanya na kicho kidhungu usichokijua. Ukifungua mdomo accent zito kama nini halafu hata kukiandika nacho kazi ....!!!!unajidai "she is indeed beau, she can be a mode,what is you guy's problem"

    maliza shule urudi nyumbani

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 04, 2007

    Nyie hapo juu usiku msiuwekee! huyu kasera wa watu kutaja yuko kensas tayari mshakonda!mnaanza kuchonga! linalowasumbua ni lipi km sio wivu??!pandeni ndege na nyie mmuende basi...??! anayeongelewa humu ni k-lynn sio kasera! anabeba boksi sijui upuuzi gani,hayawahusu!!! huna la kuongea kuhusu k-lynn then nyamaza! msituletee ishu sizo hapa!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 04, 2007

    wewe Anyn July 3, 10:36am.
    Huyu binti nakuambia hata siku moja ukimpa compliments hajibu! mimi mwenyewe nimemtumia compliments zaidi ya 4times.She never came back for anything. I also had friends saying the same thing!
    Like now she has a website, we expected her to always get in and handle her visitors comments/queries/compliments and so forth. I tell you she doesnt do that. Bado ana ule ushamba wa kibongo! hajatoka kidogo akajua watu wanavo-perceive mambo!
    Ukimwambia ni mzuri anafikiri unamtongoza!I wish michuzi angempatia maoni yetu coz nahisi hata huku hafiki kusoma vile watu wanasema juu yake! Im not happy with her anymore!

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 04, 2007

    we frank kasera ndo maana unaenda kushikishwa mke(mbuzi kwenye gunia) bongo hujui kitu pumbavu wewe

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 04, 2007

    Hi,i thank all of you who have visited my website and all those who showed support.
    E mail zote nilizopokea nimezijibu,labda kama kuna watu ambao wametoa maoni bila kuweka adress zao lakini pia wao nawashukuru pamoja na wote hapo juu wealiolalamika kuwa sijajibu.
    Peace
    K-LYINN

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 06, 2007

    inashangaza sana kuona ni jinsi gani wanaume watanzania mnaoishi ughaibuni mmepungukiwa na akili. na inasikitisha zaidi sababu kale katabia ka kugandamiza na kukandamiza masupastar mnakaendeleza huku ng'ambo.mimi nilidhani mkifika huku mtajifunza kuwapa big up young stars wetu kumbe hovyo kabisaaaaa. hebu elimikeni jamani,kama ni huko kuosha vyoo na kuhudumia vibibi vizee na kuvuta hewa ya vijambovyao inawaathiri ubongo zenuu bora mrudi bongo.Na hao mnaomtumia salam huyo dada mnataka nini?izo ni dalili za kukosa wanake wazuri-mmechoka mimama ya kizungu --mizee--inayowasaidia kupata vyeti.'N'

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 06, 2007

    Ni kweli kabisa anony hapo juu.Bwana Mich mbona hutupi habari za yule kijana wa kimasai alieko IOWA uUni. ambae anauza matako na ni Mtz? Au hujapa habari

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...