
klyn katika foto shuti mpya. hivi sasa mrembo huyu kaibuka na tovuti yake http://www.klyinn.com/ na anakaribisha wadau mtembeleeni
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
John naona ndio umetengeneza ile website. Vipi albamu yake umemtengenezea mipini?
ReplyDeleteKwa nini asiwe model tu. Kila siku phot shoot. Anapenda kupiga picha kuliko anavyotoa cd.Hizo picha zingine ataweka wapi
ReplyDeleteHuyu ni msanii ambaye ananifurahisha sana kuanzia kwenye nyimbo zake mpaka yeye mwenyewe alivyo,nafurahi kuona ana fungua website kwa ajili ya kutangaza mziki wake zaidi.hongera dada
ReplyDeleteHuyu binti ananifurahisha na muziki wake sanaaa! hapo kwenye picha ndo ananimaliza kabisaaaa! mapozi yametulia kichiz yani! mimi binafsi namzimia kwa vile alivo!
ReplyDeletetatizo lake huyu dada ukimsifia hata asemi asante!!!!! huko kwenye site yake ukimtumia e mail kumpongeza au kumpa ushauri, wala a-acknowledge kwa kusema chochote! hii ni tabia mbaya kwa kweli!
A descent person would always say 'thank you" when you tell her you are beautiful or i love the way you are!
MKANDAMIZAJI!
ReplyDeleteMKANDAMIZAJI!
ReplyDeletehuyu dada namkubali sana katika upande wa urembo kweli ni bomba sana na anapendeza sana. lakini kwenye kuimba zero kabisa naona kama amevamia fani tu hana sauti kinamsaidia anapendeza tu kwenye shot zake. my god kuiba hajui kabisa vyombo vinamsaidia lakini ni aibu tu. my dear kwanini usiwe mrembo tu na kuiba ukawachia akina Ray C na Lady J D na wangine. Sauti yako ni ya kuiba bafuni tu lakini sio in public wallah noma kwa wanaoelewa unatia aibu
wee anony wa 14:00 pm una lako jambo sio bure! wivu unakusumbua!..mpaka umechapia kuimba ukasema kuiba hovyoooooooo!weeee kalia tu dada wa watu hajui kuimba wakati mwenzio anashusha track na anauza!hiyo hiyo sauti unayoiona mbovu ndiyo inayomuingizia kipato! jiulize wee domo lako linakuingizia nini at the end of the day..???mxiiii
ReplyDeleteKwa kweli jamaa aliyeimba wa nalala usingizi nawaota wao, mademu wa kibngo si mchezo alikuwa yuko sawa kabisa.
ReplyDeleteHuyu Mrembo ni mmoja ya wanaopendeza kwa kweli. Kwa kweli huyu mtoto si mchezo na hakuna mwanamme anayepinga kwa hili.
Binafsi namfagilia na ningependa kuwa naye licha ya kwamba najua ni vigumu.
The lady is cute na sensual. All the best Klynn
all u niggaz stop hatin' she is multi-talented and what is wrong with that. she is indeed beau,she can sing, and she can be a mode so what is you guy's problem....y'all need to leave her the fuck alone..punks'''
ReplyDeletekasera
kansas city
Kasera nenda kaoshe vyombo macDonald huna mpango wowote ng'ombe wewe
ReplyDeleteI think thats rubbish about her not knowing how to acknowledge compliments. Some people are like that but this one, I dont think so. I wrote her to tell her how well she's doing and she was really sweet when she replied.
ReplyDeleteWe should just encourage eachother... I'm sick of just seeing Nigerians getting famous on the world stage!
ukweli huyo binti ni mrembo hila aache kuruka ruka na wanaume tofauti kila kukicha la msingi atulie kwani kipaji alichonacho alihamdulillah, akiendeleze na awe mfno bora kwa taifa. kwan wanaume kazi yao kurudusha nyuma maendeleo ya akina dada kama hao
ReplyDeletehi k lin, hongera ila tunaomba siku moja upige picha ukiwa realy klin pasipo hizo nywele za bandi a kama mdogo wetu flaviana matata, nadhaniii utapendeza tu pia punguza sana poz kwenye kuimba ili uwe juu zaid kama r c au jide aka mbibo, funga mkanda
ReplyDeletehi k lin, hongera ila tunaomba siku moja upige picha ukiwa realy klin pasipo hizo nywele za bandi a kama mdogo wetu flaviana matata, nadhaniii utapendeza tu pia punguza sana poz kwenye kuimba ili uwe juu zaid kama r c au jide aka mbibo, funga mkanda
ReplyDeletehi k lin dada wewe ni mrembo sana ila u a 2 short, hivyo uwez kuwa model ila jiahid sana achana na mibaba mikware inakuharibia jina...! badirika dada yetu
ReplyDeleteKasera cold room inakusubiri kupanga maboksi!!! msiwatishe watu na kusign USA! hahaha kazi mnazozifanya zinajulika, but Keep it up ndo maisha
ReplyDeleteKansas City nenda shule kajifunze na uache kujifanya na kicho kidhungu usichokijua. Ukifungua mdomo accent zito kama nini halafu hata kukiandika nacho kazi ....!!!!unajidai "she is indeed beau, she can be a mode,what is you guy's problem"
ReplyDeletemaliza shule urudi nyumbani
Nyie hapo juu usiku msiuwekee! huyu kasera wa watu kutaja yuko kensas tayari mshakonda!mnaanza kuchonga! linalowasumbua ni lipi km sio wivu??!pandeni ndege na nyie mmuende basi...??! anayeongelewa humu ni k-lynn sio kasera! anabeba boksi sijui upuuzi gani,hayawahusu!!! huna la kuongea kuhusu k-lynn then nyamaza! msituletee ishu sizo hapa!
ReplyDeletewewe Anyn July 3, 10:36am.
ReplyDeleteHuyu binti nakuambia hata siku moja ukimpa compliments hajibu! mimi mwenyewe nimemtumia compliments zaidi ya 4times.She never came back for anything. I also had friends saying the same thing!
Like now she has a website, we expected her to always get in and handle her visitors comments/queries/compliments and so forth. I tell you she doesnt do that. Bado ana ule ushamba wa kibongo! hajatoka kidogo akajua watu wanavo-perceive mambo!
Ukimwambia ni mzuri anafikiri unamtongoza!I wish michuzi angempatia maoni yetu coz nahisi hata huku hafiki kusoma vile watu wanasema juu yake! Im not happy with her anymore!
we frank kasera ndo maana unaenda kushikishwa mke(mbuzi kwenye gunia) bongo hujui kitu pumbavu wewe
ReplyDeleteHi,i thank all of you who have visited my website and all those who showed support.
ReplyDeleteE mail zote nilizopokea nimezijibu,labda kama kuna watu ambao wametoa maoni bila kuweka adress zao lakini pia wao nawashukuru pamoja na wote hapo juu wealiolalamika kuwa sijajibu.
Peace
K-LYINN
inashangaza sana kuona ni jinsi gani wanaume watanzania mnaoishi ughaibuni mmepungukiwa na akili. na inasikitisha zaidi sababu kale katabia ka kugandamiza na kukandamiza masupastar mnakaendeleza huku ng'ambo.mimi nilidhani mkifika huku mtajifunza kuwapa big up young stars wetu kumbe hovyo kabisaaaaa. hebu elimikeni jamani,kama ni huko kuosha vyoo na kuhudumia vibibi vizee na kuvuta hewa ya vijambovyao inawaathiri ubongo zenuu bora mrudi bongo.Na hao mnaomtumia salam huyo dada mnataka nini?izo ni dalili za kukosa wanake wazuri-mmechoka mimama ya kizungu --mizee--inayowasaidia kupata vyeti.'N'
ReplyDeleteNi kweli kabisa anony hapo juu.Bwana Mich mbona hutupi habari za yule kijana wa kimasai alieko IOWA uUni. ambae anauza matako na ni Mtz? Au hujapa habari
ReplyDelete