Home
Unlabelled
olimpiki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteNaomba utuwekee picha ya Safi Ramadhan pia. Alitisha sana ktk sanaa za sarakasi na hata akawapiku wanaume hadi Msondo/Gurumo wakamuimba.
Nitafurahi nikimuona dada yangu tena hapa ingawa siku hizi yupo zake USA na alishaachana na mambo hayo zamani.Lakini ujuzi wake alioupata China tangu akiwa kitoto kidogo uliwavutia wengi.
wa kwanza kushoto ni abraham sykes sio Abdallah.
ReplyDeletemimi siwakumbuki hawa na mkumbuka mdada alikua anaitwa lilia nyiti sijui alikua anafanya riadha au anatupa mikuki ila nilicheza chipukizi sijui 4th grade ilikua tukienda uwanja wa arusha kufanya mazoezi ya chipukizi kama yupo uwanjani na matainer wake inabidi watoto wote zaidi ya mia nne tuwasubiri wamalize. I was like damn when I grow up I want to be like her.
ReplyDelete