ubungo jioni hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2007

    aisee michu nimepamiss hapooo.....basi tuu??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2007

    OHHH man!! Home sweet home ,man!!
    Yaani hapo pananikumbusha mbaaali mno,tukikatiza kuwahi vipanya vya chuo!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2007

    Wadau,

    Kuna "mzigo" mmoja umevaa skirt na blouse za light pink mbele ya hicho kipanya mmeuona? Yaani kabinuka flani hivi hata anatamanisha!

    Huo "mvinje" inaelekea sio mchezo!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2007

    Nyie mnaosema mnamiss home,kwa nini msiende nyumbani makwenu ?Mna makosa ya jinai nyumbani?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2007

    ok haya home sweet home, lakini kama ni jioni mbona hizo taa za barabarani haziwaki au ni mapambo tu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2007

    bwana michu hapo ndio home kabisa yaani ukivuka barabara yenu bar kwa nyuma duh, nime pa miss sana mzee.asante kwa picha hii,.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...