Home
Unlabelled
ubungo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aisee michu nimepamiss hapooo.....basi tuu??
ReplyDeleteOHHH man!! Home sweet home ,man!!
ReplyDeleteYaani hapo pananikumbusha mbaaali mno,tukikatiza kuwahi vipanya vya chuo!!
Wadau,
ReplyDeleteKuna "mzigo" mmoja umevaa skirt na blouse za light pink mbele ya hicho kipanya mmeuona? Yaani kabinuka flani hivi hata anatamanisha!
Huo "mvinje" inaelekea sio mchezo!
Nyie mnaosema mnamiss home,kwa nini msiende nyumbani makwenu ?Mna makosa ya jinai nyumbani?
ReplyDeleteok haya home sweet home, lakini kama ni jioni mbona hizo taa za barabarani haziwaki au ni mapambo tu
ReplyDeletebwana michu hapo ndio home kabisa yaani ukivuka barabara yenu bar kwa nyuma duh, nime pa miss sana mzee.asante kwa picha hii,.
ReplyDelete