
kampuni ya adidas kupitia wakala wake wa malawi, kampuni ya connexions, imeingia mkataba na klabu ya simba kuuza jezi za timu na mashabiki ambapo asilimia 25 ya mapato inalamba klabu. kampuni hiyo inatarajiwa kusaini mkataba kama huo na yanga jumatatu. pichani ni mwakilishi wa kampuni hiyo felix sapao akiweka sahihi mkataba huo akiwa na katibu mkuu wa simba mwina 'simba wa yuda' kaduguda na mwenyekiti wa klabu hassan dalali jana hoteli ya regency park mikocheni, dar


Safi sana, finally I will get my "unauthenticated" Simba jersey
ReplyDeleteZisije hizo jersey sasa zikatu cost mikono na miguu.
ReplyDeleteWabongo tutaweza kuzinunua kweli?
Machinga ulaji utaongezeka kwa hizo fek zitakua kibao mjini....
hello,
ReplyDeletemimi nimependezeshwa sana na hii idea ,its about time
LAKINI nani ana design hizo jezi?
KWANI mimi nilisikitishwa mno kusikia ile hoodie aliyoivaa jay z kwenye concert Tanzania ilikua designed by a Kenyan Designer.
Mimi,ni Fashion Designer,ninasomea mambo haya ..imenibidi nisomee nje ya nchi ..lakini,ningependa ubunifu wa hizi jezi wapewe opportunity designer wetu wazalendo,kwani tuna uelewa wa hizi timu,tumekua nazo .Siwezi elewa mtu wa nchi nyingine anawezaje kuweka passion ,katika kubuni hizi jezi,na akampita mzalendo?
I believe when this opportunity is given to Tanzanian Designers. That is Nationalism.
Naomba contact ya hii company,CONNEXION,kwani mimi ni mbunifu wa mitindo na ningependa kuwasiliana nao.