niko na koffi charles olomide (bizbo nyeupe) na wasanii wa kundi la ngoni tribe toka uganda leo. hawa wote watatumbuiza kwenye fiesta jumamosi pale lidaz klabu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. MICHUZI VIPI BWANA UNANIANGUSHA JOTO LOTE HILO BONGO UNAVAA SHATI LA MIKONO MIREFU? HALAFU MICHUZI MBONA HUJATUWEKEA KITUKO CHA YULE BWANA ALIYEVAA SIDILIA, KI MIN NA VIATU VYA KIKE KWENYE SHOO YA BIG BROTHERS?

    ReplyDelete
  2. Hapo bila shaka ni English Vs French kuna maelewano kweli?

    ReplyDelete
  3. Michuzi nae kwa kupendaga UJIKOzzzz!
    Sehemu hizo wanapokuwa watu maarufu kama hizo neva miss, tena hakosagi kupiga picha nao mwee!
    Angalia, usije ukatundikwa na "Mzee Punch"- ZE COMMEDY, kama wale maselebriti waliokuja kujionyesha kwenye msiba wa Amina Chifupa walivyotundikwaga. Shauri zako.

    ReplyDelete
  4. Sio kweli kuvaa shati la mikono mirefu joto litakutesa sana, inategemea na rangi ya shati na material used hii ni kwa huyo mdau alekomenti hapo juu.

    ReplyDelete
  5. Braza Michu Hawa Jamaa wanitwa NGONI tu basi..NGONI TRIBE ni wengine wale wa TZ waliojibu nyimbo ya wanaume kama mabinti..Wale jamaa wa Baba kaleta panyaaaaa.....Upo hapo...a.k.a Mzee wa Data

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...