Home
Unlabelled
mopao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI VIPI BWANA UNANIANGUSHA JOTO LOTE HILO BONGO UNAVAA SHATI LA MIKONO MIREFU? HALAFU MICHUZI MBONA HUJATUWEKEA KITUKO CHA YULE BWANA ALIYEVAA SIDILIA, KI MIN NA VIATU VYA KIKE KWENYE SHOO YA BIG BROTHERS?
ReplyDeleteHapo bila shaka ni English Vs French kuna maelewano kweli?
ReplyDeleteMichuzi nae kwa kupendaga UJIKOzzzz!
ReplyDeleteSehemu hizo wanapokuwa watu maarufu kama hizo neva miss, tena hakosagi kupiga picha nao mwee!
Angalia, usije ukatundikwa na "Mzee Punch"- ZE COMMEDY, kama wale maselebriti waliokuja kujionyesha kwenye msiba wa Amina Chifupa walivyotundikwaga. Shauri zako.
Sio kweli kuvaa shati la mikono mirefu joto litakutesa sana, inategemea na rangi ya shati na material used hii ni kwa huyo mdau alekomenti hapo juu.
ReplyDeleteBraza Michu Hawa Jamaa wanitwa NGONI tu basi..NGONI TRIBE ni wengine wale wa TZ waliojibu nyimbo ya wanaume kama mabinti..Wale jamaa wa Baba kaleta panyaaaaa.....Upo hapo...a.k.a Mzee wa Data
ReplyDelete