
wengi wanamsikia sana kwenye vyombo vya habari chancellor dk. angella merkel mpaka wanadhani yeye huyo mama ndiye rais wa Ujerumani, kumbe rais wa Ujerumani ni prof. dk. horst kohler (pichani). hii ilikuwa juzi a kwenye mji munster ambako mdau anayechukua nondo ya pili ya mambo ya kodi alipiga naye stori
age haikubali kwa MSc
ReplyDeletewewe anony wa 2:20PM unayesema age haikubali kwa MSc natumaini kabisa kuwa wewe haujaenda shulena kama umeenda basi haujelimika vya kutosha,au inawezekana una chuki binafsi,nani kakwambia elimu ina mwisho,tujaribu kuwa wastarabu jamani,
ReplyDeleteaaaaaah kaka safi sana naona shavu dodo! hahaahha anyway nimefurahi kuwa unaelekea kumaliza nondo yako ya pili.. ila nikirudi bongo nataka nije na kamotokaa kangu.. usiaply sana nondo yako kwenye ushuru... hahaahaha. oldton
ReplyDeletehongera lwaga,mambo yako naona sio mchezo walai....
ReplyDeleteMzee Lwaga kweli Masters kali !Mpaka nywele zimekuisha !
ReplyDeleteJohn
Nakumbuka enzi Mkoloni wa kijerumani alivyokuwa mbabe kudai kodi ya kichwa.
ReplyDeleteHuyu kaenda kusomea mambo ya kodi huko akirudi walipa kodi kazi tunayo maana lazima arudi na mbinu za kijerumani.
Jamani anamaliza kozi hiyo lini Michuzi?
Mimi ni mkwepa kodi nataka nitoroke nchi kabla hajarudi.
Age haikubali kwa Msc??? What is that supposed to mean? mzee sna kwa Msc au kijana sana kwa Msc? just confused!
ReplyDeleteWe anon wa hapo juu acha kuchemka nani alikuambia umri ni kigezo cha elimu. Huyo jamaa anaweza maliza hiyo degree yake whether msc or otherwise, maana wewe unajua degree yapili ni Msc tu, akaanza PhD na kukuacha wewe unahanyahanya na majungu yako.
ReplyDeleteIla michu mshikaji nimemzimia kichwa chake "KAMA MPIRA WA RUGBY"
Kwa kuwa wadau wengi hatumjui rais wa hiyo nchi inakuwa vigumu ku-verify madai ya mdau.
ReplyDeleteAlexandria VA.
What do you mean by "age haikubali kwa MSc"?????
ReplyDeleteWewe mjinga sana...elimu haina mwisho baba yako anayo? Afadhali yeye amejitahidi na kupata. Pumbavu wewe
hellow lwaga hongera mzee please text email yako katika number hii tuwasiliane richie uk 447944339683
ReplyDeleteilikuwa wapi hiyo ndugu yetu!...rubbing shoulders na president?...au alikuwa anakukabidhi fimbo ya kuja kututiaraei au kutu kotekna vizuri?...congrats!...waonesheni rangi zetu tunaweza hao!
ReplyDeleteDu! Huyu bwana mdogo si wa kawaida! Namfahamu toka mdogo anavyokua,kwanza ana bidii,mpishi wa maendeleo ya maisha na ana bahati ni role mode kwa wenzake.Anayeongelea umri hapo juu asamehewe tu,hakujui.Safi sana Lwaga umenifurahisha na hongera sana dogo.
ReplyDeleteIKU.
You go shem!! Rudisha jina la Late Mzee Anangisye back in the system!Good role model for L,L,K and the rest.
ReplyDelete