wengi wanamsikia sana kwenye vyombo vya habari chancellor dk. angella merkel mpaka wanadhani yeye huyo mama ndiye rais wa Ujerumani, kumbe rais wa Ujerumani ni prof. dk. horst kohler (pichani). hii ilikuwa juzi a kwenye mji munster ambako mdau anayechukua nondo ya pili ya mambo ya kodi alipiga naye stori

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. age haikubali kwa MSc

    ReplyDelete
  2. wewe anony wa 2:20PM unayesema age haikubali kwa MSc natumaini kabisa kuwa wewe haujaenda shulena kama umeenda basi haujelimika vya kutosha,au inawezekana una chuki binafsi,nani kakwambia elimu ina mwisho,tujaribu kuwa wastarabu jamani,

    ReplyDelete
  3. aaaaaah kaka safi sana naona shavu dodo! hahaahha anyway nimefurahi kuwa unaelekea kumaliza nondo yako ya pili.. ila nikirudi bongo nataka nije na kamotokaa kangu.. usiaply sana nondo yako kwenye ushuru... hahaahaha. oldton

    ReplyDelete
  4. hongera lwaga,mambo yako naona sio mchezo walai....

    ReplyDelete
  5. Mzee Lwaga kweli Masters kali !Mpaka nywele zimekuisha !
    John

    ReplyDelete
  6. Nakumbuka enzi Mkoloni wa kijerumani alivyokuwa mbabe kudai kodi ya kichwa.

    Huyu kaenda kusomea mambo ya kodi huko akirudi walipa kodi kazi tunayo maana lazima arudi na mbinu za kijerumani.

    Jamani anamaliza kozi hiyo lini Michuzi?

    Mimi ni mkwepa kodi nataka nitoroke nchi kabla hajarudi.

    ReplyDelete
  7. Age haikubali kwa Msc??? What is that supposed to mean? mzee sna kwa Msc au kijana sana kwa Msc? just confused!

    ReplyDelete
  8. We anon wa hapo juu acha kuchemka nani alikuambia umri ni kigezo cha elimu. Huyo jamaa anaweza maliza hiyo degree yake whether msc or otherwise, maana wewe unajua degree yapili ni Msc tu, akaanza PhD na kukuacha wewe unahanyahanya na majungu yako.

    Ila michu mshikaji nimemzimia kichwa chake "KAMA MPIRA WA RUGBY"

    ReplyDelete
  9. Kwa kuwa wadau wengi hatumjui rais wa hiyo nchi inakuwa vigumu ku-verify madai ya mdau.
    Alexandria VA.

    ReplyDelete
  10. What do you mean by "age haikubali kwa MSc"?????
    Wewe mjinga sana...elimu haina mwisho baba yako anayo? Afadhali yeye amejitahidi na kupata. Pumbavu wewe

    ReplyDelete
  11. hellow lwaga hongera mzee please text email yako katika number hii tuwasiliane richie uk 447944339683

    ReplyDelete
  12. ilikuwa wapi hiyo ndugu yetu!...rubbing shoulders na president?...au alikuwa anakukabidhi fimbo ya kuja kututiaraei au kutu kotekna vizuri?...congrats!...waonesheni rangi zetu tunaweza hao!

    ReplyDelete
  13. Du! Huyu bwana mdogo si wa kawaida! Namfahamu toka mdogo anavyokua,kwanza ana bidii,mpishi wa maendeleo ya maisha na ana bahati ni role mode kwa wenzake.Anayeongelea umri hapo juu asamehewe tu,hakujui.Safi sana Lwaga umenifurahisha na hongera sana dogo.
    IKU.

    ReplyDelete
  14. You go shem!! Rudisha jina la Late Mzee Anangisye back in the system!Good role model for L,L,K and the rest.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...