Home
Unlabelled
faraja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi naona ulivyokaa kama unataka kuogelea......au ulishindwa kujizuia nini? kaka yangu basi tena.....
ReplyDeleteMichuzi, kwa 'mikao' hiyo mai waifu wako ana kaaaaaazi kwelikweli, unless kama walimfanyia operesheni ya kuondoa mshipa wa wivu!
ReplyDeleteMichuzi si ulikili kuwa umeacha mikonoz, mbona hapa naona unaendeleza tena libeneke la mikonoz au uzalendo ulikushinda? Any way ni vijimambo tu.
ReplyDeleteMichuzi si ulisema umestaafu mikonoz, KULIKONI? Uzalendo ulikushinda nini
ReplyDeletemichu uko vizuri kwenye mikonoooooooooooooooz
ReplyDeleteBABAKE! That's all I gotta say...
ReplyDeletemichuzi hiyo miguu inalipa sijui hivi huyo dada ni muhudumu hapo ili nami nije kwenye semina yangu binafsi.
ReplyDeleteHata kama ni mimi nisingeweza kujizuia-Toto hilo, tena toto kweli, lenye mvuto mara mia.
ReplyDeleteHivi Bro Michuzi mambo ya BIG BROTHER yamefikia wapi?
Mdau wa Blog, A-Town (Mami No. Moja)
Kudadadeki wallah!
ReplyDeleteKaka Michuzi, naweza kupata kontakt za huyo bint?
Hayo mapaja mwanawaneh!
Seriously naomba kontakt zake
Wabongo kwa kupenda kutoa sifa hewa!!! Ati mdada analipa!!! Analipa mimapaja milaini namna hiyo na imesambaa namna hiyo !!! Mapaja shutri yawe "firm" na yenye umbo linaloeleweka , siyo yamesambaa kaa kitu gani sjui.
ReplyDeleteBinafsi, NO NO NO NO !!!
michuzi nimekukubali. unatisha.
ReplyDeletemichuzi noma
ReplyDeleteWanawake wa kichaga wazuri kiaina yake kuanzia kiunoni kwenda juu wanene sana lakini miguu utaikuta myembamba utafikiri spoko za baiskeli.
ReplyDeletekweli tembea uone.
kaka michu ulienda na suti moja tu? ... Mikonozzz
ReplyDeleteMapaja teketeke !!! Halafu ana ngoko kwenye goti, yaani goti halina nyama kabisaa !!! Yaani hebu ficha kabisa !!! Kweli nimeamini wabongo hawana viwango, yaani kila kitu wanasifia !!!
ReplyDeleteMICHUZI BIBIE USAFIRI SI HABA HALAFU MOYONI MWAKE KESHAKUBALI HUYO..SIUNAONA ALIVYO JISOGEZA "BODI LANGUEJI"
ReplyDeleteKUDADEKI!
ReplyDeletekweli blog zinalipa!
na mie ngoja niwasiliane na MK...
wajaaaaaaaa eeeh mnani nyieee,mwanamke aliwa mwembamba kwenu kero haya dada wa watu kajaaliwa paja paja mashaallah mnasema kepweta, doooo walimwengu hamna jema nyie.haya akifanya mazozi kukaza majapa hayo mtasema tena miguu kama ya dume uwiiiiiiiiii matumoki doii.kabla hujataja aibu ya mwenzako kumbuka yako kwanza.
ReplyDeleteBY VK
We michuzi sasa hivi watakusomea albadiri na tumikonozz twako. waosha vinywa mkisha beba maboksi basi mnadhania wanawake wakibongo nao wanabeba makosi kama midume wagumu kama hoa mamodo mnao waona huko wote huo ni wivu. mwanamke anatakiwa awe mlaini hat usiku ukishika utofautishe nyie mnao wafnaya kina britney spears SI unit mtajiju mwanamke wa kiafrika anatakiwa awe na nyama,kifusi na nido kwa jamu sio yaliyo jazwa masilicon kwendeni zenu mtoto bombaaaaa sijui wa kimasai au banyamulenge au mchagga vile
ReplyDeletewewe michuzi huna adabu hata kidogo hivyo, katika hii picha mikao yako unakuwa kama siyo mpiga picha au unabahatisha wewe kupiga picha angalia picha za watu ili ujifunze kupiga picha, pia kushika wanawake wa watu utakujwa fungwa kama ukija majuu.Shauri yako
ReplyDeleteMmependeza sana, tena watanashati. Safi sana hii. Michuzi kiatu chako umepiga kiwi vizuri. Hii picha inafaa kuonyeshwa kwa wale wa ughaibuni wanaodhani Afrika ni dhidi tupu. Sio dhiki tupu. Shukrani bro Michu. Hata waosha vinywa wanatakiwa angalau mara moja moja watambue jambo zuri na kukiri. Huyu demu ametulia na ni chuma cha uhakika. Uwongo mbaya.
ReplyDeleteMsukuma kaniki ni asili,Mmasai rubega haachi hata kwa viboko,wadau kuosha vinywa ni jadi na wewe michu mikono kwako ndio kabisaa!!1 huta acha mpaka tukupeleke Uarabuni ifanyiwe ikatwe (amputation) eheee ama tusubiti ukipata mafua tukupeleke muhimbili kwa wale madaktari halafu wakukate mikono!!!1
ReplyDeletePeace and Lovely
teh teh teh teh.... Yaani comments za huku zinanivunja mbavu sana. Michuzi lini tunafanya sherehe nyingine. Na mimi nataka nitume picha yangu humu nione wa bongo watasema nini????? hah aha hah sijui itakuaje....nasubiri sherehe lini Iddi tena na mimi nijitose?????....
ReplyDeleteBisho... ntongoooo nogambe cholikw... (mtu amalizie basi)
ReplyDeleteWewe Michuzi,
ReplyDeleteMarekani huwezi kuishi wewe..wataku-sue..utakuwa an lawsuits sijui ngapi za harassment..tena unawaweka kwenye internet...Kijana una hatari...Ila hapo mimi nimefika bei..uongo mbaya..umejishindia kila kitu...!! Guu guu tu...toto la Kipare au vipi..ila urefu unanitia wasiwasi..wapare wazuri ila thi warefu..maana ndo baba dhao na mama dhao..mtoto mtoto kweli....!! Jamani tuma hapa contact...!! wsnipes69@yahoo.com nimvute majuu..!!
Mtumeeee, mbavu zangu. Michuzi utalipa mbavu zangu. maana wewe ndo unapost hivi vituko. yaani anony wa Nov 7, 9:23 na huyo wa 9:47 wamenichekesha sina hamu. Eti wakupeleke uarabuni for amputation au muhimbili ukiwa na mfua kisha wakate mikono, na huyo naye aulizia iddi ni lini. Jamani, he
ReplyDeleteaaaaa.