nafarijika kusema kwamba nimebahatika kutembea sehemu nyingi ila hadi sasa sikupata bahati ya kukuta wadau wengi wa globu hii ya jamii kama a-taun. na wote hawakuwa na hiyana - katika kupata nami snepu na tumikonozzz kwa jamu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. Michuzi naona ulivyokaa kama unataka kuogelea......au ulishindwa kujizuia nini? kaka yangu basi tena.....

    ReplyDelete
  2. Michuzi, kwa 'mikao' hiyo mai waifu wako ana kaaaaaazi kwelikweli, unless kama walimfanyia operesheni ya kuondoa mshipa wa wivu!

    ReplyDelete
  3. Michuzi si ulikili kuwa umeacha mikonoz, mbona hapa naona unaendeleza tena libeneke la mikonoz au uzalendo ulikushinda? Any way ni vijimambo tu.

    ReplyDelete
  4. Michuzi si ulisema umestaafu mikonoz, KULIKONI? Uzalendo ulikushinda nini

    ReplyDelete
  5. michu uko vizuri kwenye mikonoooooooooooooooz

    ReplyDelete
  6. BABAKE! That's all I gotta say...

    ReplyDelete
  7. michuzi hiyo miguu inalipa sijui hivi huyo dada ni muhudumu hapo ili nami nije kwenye semina yangu binafsi.

    ReplyDelete
  8. Hata kama ni mimi nisingeweza kujizuia-Toto hilo, tena toto kweli, lenye mvuto mara mia.

    Hivi Bro Michuzi mambo ya BIG BROTHER yamefikia wapi?

    Mdau wa Blog, A-Town (Mami No. Moja)

    ReplyDelete
  9. Kudadadeki wallah!
    Kaka Michuzi, naweza kupata kontakt za huyo bint?
    Hayo mapaja mwanawaneh!
    Seriously naomba kontakt zake

    ReplyDelete
  10. Wabongo kwa kupenda kutoa sifa hewa!!! Ati mdada analipa!!! Analipa mimapaja milaini namna hiyo na imesambaa namna hiyo !!! Mapaja shutri yawe "firm" na yenye umbo linaloeleweka , siyo yamesambaa kaa kitu gani sjui.

    Binafsi, NO NO NO NO !!!

    ReplyDelete
  11. michuzi nimekukubali. unatisha.

    ReplyDelete
  12. michuzi noma

    ReplyDelete
  13. Wanawake wa kichaga wazuri kiaina yake kuanzia kiunoni kwenda juu wanene sana lakini miguu utaikuta myembamba utafikiri spoko za baiskeli.

    kweli tembea uone.

    ReplyDelete
  14. kaka michu ulienda na suti moja tu? ... Mikonozzz

    ReplyDelete
  15. Mapaja teketeke !!! Halafu ana ngoko kwenye goti, yaani goti halina nyama kabisaa !!! Yaani hebu ficha kabisa !!! Kweli nimeamini wabongo hawana viwango, yaani kila kitu wanasifia !!!

    ReplyDelete
  16. MICHUZI BIBIE USAFIRI SI HABA HALAFU MOYONI MWAKE KESHAKUBALI HUYO..SIUNAONA ALIVYO JISOGEZA "BODI LANGUEJI"

    ReplyDelete
  17. KUDADEKI!
    kweli blog zinalipa!
    na mie ngoja niwasiliane na MK...

    ReplyDelete
  18. wajaaaaaaaa eeeh mnani nyieee,mwanamke aliwa mwembamba kwenu kero haya dada wa watu kajaaliwa paja paja mashaallah mnasema kepweta, doooo walimwengu hamna jema nyie.haya akifanya mazozi kukaza majapa hayo mtasema tena miguu kama ya dume uwiiiiiiiiii matumoki doii.kabla hujataja aibu ya mwenzako kumbuka yako kwanza.

    BY VK

    ReplyDelete
  19. We michuzi sasa hivi watakusomea albadiri na tumikonozz twako. waosha vinywa mkisha beba maboksi basi mnadhania wanawake wakibongo nao wanabeba makosi kama midume wagumu kama hoa mamodo mnao waona huko wote huo ni wivu. mwanamke anatakiwa awe mlaini hat usiku ukishika utofautishe nyie mnao wafnaya kina britney spears SI unit mtajiju mwanamke wa kiafrika anatakiwa awe na nyama,kifusi na nido kwa jamu sio yaliyo jazwa masilicon kwendeni zenu mtoto bombaaaaa sijui wa kimasai au banyamulenge au mchagga vile

    ReplyDelete
  20. wewe michuzi huna adabu hata kidogo hivyo, katika hii picha mikao yako unakuwa kama siyo mpiga picha au unabahatisha wewe kupiga picha angalia picha za watu ili ujifunze kupiga picha, pia kushika wanawake wa watu utakujwa fungwa kama ukija majuu.Shauri yako

    ReplyDelete
  21. Mmependeza sana, tena watanashati. Safi sana hii. Michuzi kiatu chako umepiga kiwi vizuri. Hii picha inafaa kuonyeshwa kwa wale wa ughaibuni wanaodhani Afrika ni dhidi tupu. Sio dhiki tupu. Shukrani bro Michu. Hata waosha vinywa wanatakiwa angalau mara moja moja watambue jambo zuri na kukiri. Huyu demu ametulia na ni chuma cha uhakika. Uwongo mbaya.

    ReplyDelete
  22. Msukuma kaniki ni asili,Mmasai rubega haachi hata kwa viboko,wadau kuosha vinywa ni jadi na wewe michu mikono kwako ndio kabisaa!!1 huta acha mpaka tukupeleke Uarabuni ifanyiwe ikatwe (amputation) eheee ama tusubiti ukipata mafua tukupeleke muhimbili kwa wale madaktari halafu wakukate mikono!!!1

    Peace and Lovely

    ReplyDelete
  23. teh teh teh teh.... Yaani comments za huku zinanivunja mbavu sana. Michuzi lini tunafanya sherehe nyingine. Na mimi nataka nitume picha yangu humu nione wa bongo watasema nini????? hah aha hah sijui itakuaje....nasubiri sherehe lini Iddi tena na mimi nijitose?????....

    ReplyDelete
  24. Bisho... ntongoooo nogambe cholikw... (mtu amalizie basi)

    ReplyDelete
  25. Wewe Michuzi,
    Marekani huwezi kuishi wewe..wataku-sue..utakuwa an lawsuits sijui ngapi za harassment..tena unawaweka kwenye internet...Kijana una hatari...Ila hapo mimi nimefika bei..uongo mbaya..umejishindia kila kitu...!! Guu guu tu...toto la Kipare au vipi..ila urefu unanitia wasiwasi..wapare wazuri ila thi warefu..maana ndo baba dhao na mama dhao..mtoto mtoto kweli....!! Jamani tuma hapa contact...!! wsnipes69@yahoo.com nimvute majuu..!!

    ReplyDelete
  26. Mtumeeee, mbavu zangu. Michuzi utalipa mbavu zangu. maana wewe ndo unapost hivi vituko. yaani anony wa Nov 7, 9:23 na huyo wa 9:47 wamenichekesha sina hamu. Eti wakupeleke uarabuni for amputation au muhimbili ukiwa na mfua kisha wakate mikono, na huyo naye aulizia iddi ni lini. Jamani, he

    aaaaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...