Mratibu wa onesho la mavazi litakalofanyika siku ya wanawake dunianimachi 8 kwenye ukumbi wa hoteli ya movevienpick litakaloitwa FastiveCollection, Asmah Makau (kulia), akiwa na mbunifu wa mitindo Fatma Amour wakionesha baadhi ya mavazi yatakayokuwepo siku hiyo.
Kiingilio kitakuwa ni sh 20000/=/tiketi zinapatikana movienpick, shoppers plaza, hoteli ya seacliff, mgahawa wa Best Bite, Jmall-Fomozo, Mlimani City na Famour Design Kinondoni karibu na sheli ya Bonjour

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. kweli hiyo znz mpaka bongo tulikuwa wote bro sauti za busara kweli dada yetu ni designer mzuri ila na mashaka na wewe bro michuz maana umeshikia sana bango mtoto kaumbika huyo sijui kaubwa jumapili

    ReplyDelete
  2. Michuzi kwa promoshani tu, bingwa!!

    sawa mi yangu macho tu.

    ReplyDelete
  3. Huyo ni Fatma Makau wa Gazeti fulani la kila siku la kiswahili Tanzania au nimesoma vibaya????Ni mjamzito?,fuatilia Michuzi

    ReplyDelete
  4. Huyo Asmah alikuwa na Red eyes ungonjwa wa watani wa jadi

    ReplyDelete
  5. Huyo dada hiyo miwani mbona mikubwa sana kama fundi welding!

    ReplyDelete
  6. kaka michu, mpe salamu zangu za dhati fatma, siku hiyo mi ntaenda kumuangalia yeye sio mavazi yake.... teh teh teh najua hii huitoi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...