Home
Unlabelled
jk
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwa wale wanaomkandia mh. Pinda mnakosea huyu jamaa ni handsome ana good smile jamani acheni roho za kwanini hasa wewe KP.
ReplyDeleteNakusapoti anon hapo juu....kwanza kp haogopi???...Tazama hiyo listi yenyewe...SUMBAWAGA.....BAGAMOYO...PEMBA!!!!!
ReplyDeleteMwacheni baby face
ReplyDeleteKweli nyani haoni kundule. KP mwenyewe mbaya afu anasema wenzie. Nakuamini Misupu hutaiminya hii comment. Ndo maana twapenda blog yako
ReplyDeleteJK: Basi bwana wananitumia message kibao..oh JK umetumwaga tunashukuru...oh sijui nini..aaaah mimi wala sijibu!!! Tehetehee
ReplyDeleteMP: Mimi namba yangu si hawana!!! hapo nikajua message lazima zije kwako mkuu...tehetehe
SHEIN: Aaaah...mimi wananizalau wanajua sihusiki!!!!
Ni kweli watu wanampakazia PM wetu kuwa si handsome. Kwa ambaye amewahi kuwa naye karibu atakiri kuwa PM ni handsome.
ReplyDeleteKwenye hiyo picha inaelekea anayetoa huo mchapo hadi Shein kuvunjika mbavu ni Pinda. Waone wote JK na Shein wako hoi na huo mchapo wa Pinda. Hata wakati wa lowassa hakuna wakt walishaonekana wakiwa na furaha kiasi hicho. Huo ni upande wa pili wa PM wetu mpya. Kazi na Dawa.
Bravo Pinda. Wapindishe kwelikweli ukiwavunja mbavu na kuwapa ukweli hapo hapo.
KP anacheza na moto. Atageuzwa muwa, taratiiiiibu watu wanatafuna. Hiyo chama imeenea, gusa Sumbawanga hapo lazima radi likuchangue, Bagamoyo hapo ndo usiseme utageuzwa kifuu, sasa hapo Pemba baba'ke lazima ukavue. Kudadadeki!! Maskhalla tu. Tunavihitaji hivyo vichwa vinginevyo nchi ilikuwa imechukuliwa na wahuni.
ReplyDeleteatazoea kidogo kidogo, unajua lazima mapozi ya uongozi, atajua kidogo kidogo, unajua wanasiasa waliozoea, wanapozi kikubwa kubwa.
ReplyDeletePinda: Unaambiwa shughuli haijaanza watu wametoa mimacho utafikiri mijusi imebanwa na mlango...nikasema hapa JK mwanangu itabidi ujikaushe kichizi, azawaizi Ikulu Ndogo patakuwa hapakaliki...
ReplyDeleteJK: Uliona eeeh, kudadadeki ngoma zina usongo na mimi kisa nimezipiga chini...Ila nilikomaa kichizi unaambiwa!
Shein: Ayaaa, pale ilikuwa nomaaaaa, ila JK ulicheza kishua mtuwangu, we kichwa babaake...
Kaka michu mimi nimefuatilia kiundani inasemekana baada ya kuapishwa PINDA watu walikunjwa sana lubisi kutoka BUKOBA kwenye IKULU ndogo ya dodoma kwani PINDA na TIBAIGANA wameshea mama kwani wewe huwaoni wanavyo fanana, wote ma Handsome. Sasa hivi utasikia TIBAIGANA balozi.
ReplyDeleteJamani, ni vema mtu kujua kuwa Wasanii tuko kibao utofauti unaonekana katika jinsi tunavyoutumia usanii wetu kwa ajili ya kujibomoa au kujijenga.
ReplyDeleteKwa kweli kitendo cha juzi cha kumtumelaizi- kidenishi PM wetu kimempandisha graph KP Masoud kutoka 90% hadi 5%
Na alinichecheta kufuatilia kuinyaka resepsheni yake iliyo katika rekodi za buku la ginesi.
Nilichokikuta, nilimnyanyulia kofia maana kweli ni mzuri usipime! Amepambwa kwa lips zake za pinki kama naniino ya pink pink!
Aidha alinivutia sana pia kwa macho yake kama vile yametanakishiwa kwa kazi ya wanyama wadogo wa Mathare wanaopaa, ok kumbe wanaitwa Nairobi flaiz lakini nilipewa tipu toka ndani ya FM kuwa ni kwa ajili ya misosi yake ya nguvu anayoikandamiza mara kwa mara kwa jina Delta-9-Tetrahydrocannabinol aka THC!
Unaweza kumwona alivyotoka mchicha huko BC.
Kaka Michuzi hii inatoka hivi hivi bila kuiminya maana anapostahili sifa mtu husifiwa.
kaka michu siku hizi tanzania dawa ni kucheka kupunguza mambo mengi.
ReplyDeletehahah
ReplyDeleteyani unataka kuniambia bodyguard hana bandama au maana hacheki kazi nyingine bwana tabuu kweli kweli! rais akicheka we unune!hahaha safi sana michuzi
Hapa hakuna uzuri...kwani kuna mtu anakuja kuchumbia. Mbona huyo mnayemuita handsome ametufisadi! Kwa taarifa yenu - ukitaka kujua kuwa mtu ni handsome, unaangalia symmetry ya mwili wake kuanzia utosini hadi miguuni. Je wote wanaokandia Mh. Pinda walifanya hizo hesabu kabla ya kuandika maoni?
ReplyDeletejk alipokutana na wisley snapes
ReplyDeleteNi lazima wachekelee bwana wee!!!
ReplyDeleteMh, how are they going to screw up Tz this time without us knowing(founding out soon)
nimeona kitu hapa! hebu angalieni vidole vya bw.pinda: hizo 'knuckles' zinaonesha kuwa ni mtu wa shughuli, mazoezi, karate, mi-push ups kibao, kubonda punching bag kwa sana! au naongopa jamani! basi kama ndivyo huyu jamaa si mchezo: akisema kasema,ubishi na ubishoo peleka kwingine, hapa kazi kazi tu!usiombe akakukunja utaomba ukutane na tyson(wa sasa!). big up mr pm!!
ReplyDelete